Recent content by kivyetu

  1. K

    Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mnawezaje kumtafakari TAL mana mm Kila nikijaribu kumtafakari kdg tuu basi utumbo unatetemeka,mwili unajawa hofu kuu,napata feeling tofauti kabsa na watu wa Dunia hii,mawazo yanakuja km vile nataka kumdadisi mtu asiyechunguzika.bado sielewi kwann hali hii.nitatafuta wataalam wanieleze Nini maana...
  2. K

    Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Pole sana,kozi nzuri pia umechagua hongera .wazaz wako watafurahi soon waombee maisha marefu tuu
  3. K

    Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Nmeangalia competition tuu Huku nje kwenye soko la ajira,Kwa baadhi waliosoma nit ninaowafaham wapo very shallow Yan,kiasi Cha wao wenyewe kujisemea n heri wangesoma tuu must.tofaut na tuliopita ATC / wale wa mbeya. Hatuna deni na vyuo vyetu
  4. K

    Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Chuo Bora Cha nyakati zote ni ATC,ila Kwakua chaguo lako n mechanical na ATC wamekupa fani usiyoipenda,hayo ni maisha yako,fanya ukipendacho ata km kipo kwenye moto. nenda MUST,NIT sikushauri Kwa mechanical engineering.
  5. K

    Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

    Mtoa mada nmesoma Kwa makin nkizan nitapata kitu lkn Kwa ndoto mnh sidhan, Nilifiwa na mama yangu ghafla.kabla ya kifo chake like 2 days katika story nlimuona akiniangalia Kwa huruma sana,nlipomuuliza alisema nakuonea huruma mwanangu,nikifa Hawa wadogo zako watakusumbua sana.cku nyingine...
  6. K

    Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

    mnh bado sijaona ninachotaka,labda no.2 ila kwambaaali yakuforce sn .
  7. K

    Kipi kinakutoaga kwenye mood? Karibu tushirishane

    Mm ndo sijatoka ata ndan Yan nakosa mood kabsa na michongo ukute Ina bounse tuu Yan sitakagi ata kuonana na watu
  8. K

    Kipi kinakutoaga kwenye mood? Karibu tushirishane

    Nikikosa Hela napoteza ad confidence Yan dah
  9. K

    Ni jambo la fedheha uwe na gari au pikipiki lakini mtoto anafika miaka 14 hajui kuendesha

    SoMo zuri hasa watt wakiume tuwafundishe haya mapema,wangu anamiaka 7 kadhajua gari vzr badokukanyaga mafuta na breki mana miguu haifiki,lkn anafaham wapi mafuta wapi break,kunyoosha na mengine Hana tatizo.nlianza mfundisha mapema sana,sahv Huwa anajisemea nikiwa mrefu miguu ikifika kwenye...
  10. K

    Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Ah tushachelewa ni wastage ya time tuu.
  11. K

    Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Mama Leo kapendeza,gauni zuri kongole kwake,
  12. K

    Mtazamo: Wasingeweza kumuachia Tundu Lissu bila Mama kuonekana kakutana na watu fulani waliomuomba amuchie Lissu

    Haijalishi mazingira Gani,gerezani siyo gest wamuachie tuu lisu .akitoka nashauri akapimzike tuu na familia yake cc atuache ,hatubebeki
Back
Top Bottom