mbona taasisi nyingine board chairman ni upesi walishapatikana,sasa kwenye board kubwa kama Nbaa hadi April hii hola..mitihani tangu tufanye November 2017 !
Mh.Raisi tunaomba utusaidie kwenye hili jambo.
its torture kwa kweli kusuburi majibu ya mtihani bila matarajio ya kujua lini yatatoka.
Return Of Undertaker Jamaa minamsifu sana,ujue anaonyesha madhaifu yaliyopo kwenye serikali yetu hasa kwenye baadhi ya idara na watendaji.
Ni kweli ustawi wa jamii,dawati la haki na jinsia,n.k ndio kazi zao hizi.!
Lakini kama hawafanyi kazi zao/hawatimizi wajibu wao,unaona ni vyema mwenye...
March is approaching,still NBAA has not released CPA exams results.This is not fair and good for a professional body to do such a thing to its customers.
whoever is causing such a delay should consider the students who put their efforts to take the exams and their finances,lost time...
Wa Tanzania sijui kwanini hatupendani...mtu anafurahia kabisa mwenzie apate majanga. Tulitegemea taasisi kama DIB na BOT kuwa kuna professionals wazuri wangetumia busara na utu kulitatua tatizo hili dogo..sasa nimeamini kuwa hata usome vipi bado roho mbaya na ubinafsi hautoisha kwa baadhi ya wa TZ..
habari za majukumu,
hii gari yangu nimebadili oil pump,nimesafisha nozzle,service nafanya kwa wakati,lakini gari imekuwa nzito sana ukianza kuondoka,au ukifunga breki na kuanza kuondoka gari haikimbii hadi baada ya distance ndefu ndio inakubali. Huwa inakuwa kama inashtuka hivi ikianza...
Kero yangu ni kuhusu matumizi mabaya ya barabara kwa hawa wenzetu waliojuu ya sheria..askari(polisi na na baadhi ya Jwtz).
Utakutana nao njiani wametanua tena njia unayopita wewe na wanakuja speed hukuwakikuamrisha uwapishe,mbaya zaidi hata wakiwa kwenye private cars zao. Utakuta hawana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.