Recent content by kitambaa Cha sofa

  1. K

    pAFYUM ZA MAFUTA

    Ndio naweza pata?
  2. K

    pAFYUM ZA MAFUTA

    Habari Natafuta pafyum za mafuta oil pafyum naweza kupata wapi? Niko dar
  3. K

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Da singanoo tuhurumie na sie wa bure
  4. K

    Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

    Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama Mi niko mbagala
  5. K

    Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

    Mi nimejenga huku wilaya ya temeke na nishahamia lkn mbona SIJAWAH kudaiwa hicho kibali? Hata majirani zangu hawana
  6. K

    Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Mpeleke azam chamazi complex pale atafanyiwa majaribio akiweza atapelekwa azam b timu ya watoto huku kwetu chamazi hata wasio na vipaji wanaendaga tu kufanya mazoezi na kunywa chai ya bure
  7. K

    PreGE2025 CCM inapita mitaani kuomba namba kwa kisingizio cha ujirani

    Ndugu watanzania kuweni makini na CCM, imeshaanza figisu mapema yote hii. CCM haina hata aibu imetoka msituni na sasa inapita mtaani kuomba namba yako ya simu au namba yako ya kadi ya mpiga kura. Kuweni makini watanzania. Pia soma - CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa...
  8. K

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Elton tony plz naomba usimuue miriam
Back
Top Bottom