Mzee nchi zote zilizokuwa zinaanza upya au taasisi zote imara zilitawaliwa na mtu mmoja zaid ya miaka 30 maana lazima uweke vijana wapya wajue mawazo yako na kusimamia. Hiyo shughli ni ya kizazi kizima cha kazi. Mbowe aliweka hiyo misingi. After all hakuna mtu anaejali heshima zaid ya...
Mi namuunga mkono Mbowe. Bro huwez kutengeneza watu kwa miaka 30 halafu waje kukuita kibaka. Bora uwe kibaka kabisa ili kiu yao itulie. Nikikumbuka mbowe alivyopambana Lissu akaenda kutibiwa Nairobi leo kusingekuwepo Lisu. Maisha ni kuchagua na kuwa makin na unachoongea lazima kuna gharama...
Hili la kutojenga kwao nakuunga mkono japo nilichokiona ni kama pale ni makabur ya familia. Siamin kwamba hiyo familia ikienda yote inafikia hapo. Naamin kila mtu kajenga pemben na kwake. Labda wameamua kupaacha palivyo kulinda historia yao. Kule kwetu moshi kuna nyumba unajenga Ghorofa lakin...
Mzee hujui maka inalindwa na mashoga? Au huna taarifa hata kile kitambaa cha kupangusia kaaba kilipelekwa kwenye kile kisiwa kikasaidie shughuli za mashoga
Mimi namuamin Mungu ila sio huyo wa kiarabu mzee mbona hunielewi. Mungu ninaemuamin ndie aliyeumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Na hapa kwetu hatukuhtaji mpaka mwarabu aje kutuambia yupo Mungu nk nk. Au unafikir kabla ya hao waarabu kuja babu zetu walikuwa...
Kila din inasema hivyo hivyo. Mwenyez Mungu muweza yote. Huyo unassuming ni kipi kinakupa uhakika ndie wa kweli. Au ukishasoma vitabu vyenu basi akili yako in aisha hapo
Unafikir kati ya mimi na wewe nani kilaza wewe unaeamin miungu ya kiarabu na mimi. Yaan babu yako hakuwa na mungu mpaka alipoletewa mungu na hao mabwana zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.