Recent content by Kisengero

  1. K

    Ni kama Walinzi wa Samia wamebadilishwa baadhi yao

    Bwana asipoulinda mji, waulindao wakesha bure...
  2. K

    Kesi ya Lissu ina nyaraka mbili za Hukumu! Ipi Sahihi na ipi ni Batili?

    Mara zote ukiua lazima uache angalau kidoti kidogo cha damu ( kama atom kwa waliosoma chemistry) ambacho hicho ki atom ndicho kinachofanya wapelelezi wajue kuwa umeua na wawe wapelelezi professional kwelikweli
  3. K

    Tundu Lissu: I remain optimistic about tomorrow but I am also prepared for the worst!

    Watakuwa wamehusika kifo cha kakake ili kumshinikiza akubali maridhiano ila hapo ndo wameharibu zaidi.Tundu Lissu sio Mbowe( kimsimamo)
  4. K

    Je, Godbless Lema atahudhuria hukumu ya Tundu Lissu kesho?

    Kama ni kweli kwa tuhuma zake , policcm watahakikisha anakuwa seat ya mbele....
  5. K

    Rais Samia Yuko wapi

    Unaelewa maana ya neno 'msenge' ? Au unajiandikia tu...
  6. K

    Askofu Josephat Gwajima: Kitendawili - Tega; Kama utarudi salama kwenye hiyo vita, basi Bwana Mungu hakusema nami...!!

    Sio kwamba tuna bahati mbaya....aliyemteua ameamua kutukomoa na anajua
  7. K

    Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Hata ingekuwa vipi hao wakuu ie. The president, VP,PM , CDF,DGIS na IGP kutokana na mfumo wa serikali ya JMT wasingeweza kuitwa sembuse kuitika wito kwa sababu wamejijengea dhana kuwa wao hawagusiki (untouchable) na wako juu ya sheria. Wanaweza hata kuamua nani afe na nani aishi
  8. K

    Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Ukienda interview ya ajira ya upolisi kama umefaulu vizuri form 4 tu huchukuliwi sembuse form 6. Wanaajiri failures tu. Sasa hawa failures ndiwo wanajiona wana akili sana hata kutuambia landcruiser tinted yenye nembo ya JWTZ ni gari ya TARURA? Ajabu na kweli. Dahhh
  9. K

    Kwani DCI Kingai na wenzie waliiitwa kumtetea Mh.Lissu , au kuja kuthibitisha uhaini wake?

    Majaji wamezingua : Hawa DCI , IGP na CDF wangetakiwa kuja kuthibitisha uhaini wa mshtakiwa sema wamefuata maelekezo kutoka juu...
  10. K

    Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

    Kama tumelaaniwa vile....mwaka kesho(2027) twatarajia darasa la tano na la sita kufanya mitihani pamoja kwenda sekondari mwaka 2028. Ni wazi kuwa mwaka huo tutahìtaji kuwa na vyumba vingi vya madarasa, walimu wengi, vitabu vingi na rasilimali zingine nyingi kuliko miaka ya nyuma. Badala ya...
  11. K

    Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Msambaa wa Vuga huyo : Sijaamini manake wasambaa tunatisha kwa roho nzuri, sie hatuna asili ya roho mbaya
  12. K

    Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

    Watashindwa kwa jina la Yesu
Back
Top Bottom