Recent content by Kirchhoff

  1. Kirchhoff

    Ujumbe kwa "Bikira Maria," Usinitokee mafichoni

    Hata Jibril alitakiwa amtokee Mohamed hadharani ila akamtokea Pangoni. Lakini humuombi akutokee maana utachezea kichapo.
  2. Kirchhoff

    Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

    Kwenye Ardhi ya Rais bila kuomba msamaha?
  3. Kirchhoff

    Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

    Sikuulizi jinsia nakuuliza Kuhusu Jina. Nani anaamua Jina Liwe la Jinsia Fulani?
  4. Kirchhoff

    Serikali ya ccm oneni aibu wakati mwingine

    Andika vizuri
  5. Kirchhoff

    Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

    We unajuaje hayo majina sio ya kike? Ungezaliwa unaitwa Hadija ungepinga?
  6. Kirchhoff

    Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

    Ndo wapi huko? Mi najua Riverside Shuttle ya Arusha-Nairobi
  7. Kirchhoff

    Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Aliyemezeshwa tango akavujisha sa hivi atakuwa anaogelea ruvu
  8. Kirchhoff

    Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Tena huko kwenye Nuru ndo wakamuua na kumla huku kafa
  9. Kirchhoff

    Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

    Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.
  10. Kirchhoff

    Nimekataa kurudiana naye, sasa anataka kuvujisha picha mtandaoni alizonipiga kwa Siri. Sijui Nifanyaje?

    Muwahi uende polisi wakamate vifaa vyake na kumuamrisha afute Mara Moja.
  11. Kirchhoff

    Nchimbi bado anaomboleza kufukuzwa kazi

    Ee Baba Mungu Ninakuomba Umhurumie Ndugu Nchimbi kwa maombezi ya Mama Bikira Maria mfungua vifundo na watakatifu wote kwa Njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja Utuhurumie.
  12. Kirchhoff

    Katambi: Wizara ya Mambo ya Ndani imepanga kukusanya Bilioni 499 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

    Fedha Kutoka Fine za Barbarani, Ile fedha ya dhamana ya viongozi wa chadema kukamatwa pamoja na watu wengineo kukamatwa na kudaiwa fedha ili waachiwe.
Back
Top Bottom