Recent content by Kiranja wa jamii

  1. K

    Jaji Masaju: Kumekuwa na tabia ya ovyo watu kuihukumu Mahakama

    Nadhani imefikia wakati sasa Jaji Mkuu abadilishe kazi aende akafungue kanisa mahakama imeshamshinda kuongoza Badala ya kujibu kwa vitendo yeye anajibu kwa maneno. Sehemu inayohitaji vitendo ijibiwe kwa vitendo Mahakama ikiwa huru wananchi wataiona tu kuwa iko huru wala haina haja ya kusemewa...
  2. K

    Inawezekenaje kila anayeongea na 'The Chanzo' amefariki muda mfupi tu? Je, hiki chombo ni 'attachee' wa mfumo??

    Wanasema pia alimuhoji Maalim Seif naye ikawa ndo basi tena
  3. K

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Mwenyezi Mungu amsaidie huko aliko, lakini yeye ndo alikuwa na mapenzi ya dhati kwa watanzania wa chini. Aliweza ku risk maisha yake kwa kutoa taarifa nyeti hadharani ili tu kuwanyamanzisha waliokuwa wanapanga mipango mibaya juu ya Tanzania Hakuwahi kuomba pesa, hakuwahi kuanzisha channel ya...
  4. K

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Unaweza kuwa mshindi lakini usitangazwe, hii dunia haitambui washindi bali wenye nguvu
  5. K

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Dalili ya mvua ni mawingu, kwa namna hali ya hewa ilivyo hakuna moshi wowote huko ndani wala hakuna wa kwenda jela kutoka upande huo. Walioko jela ndo hao hao na watakaoendelea kwenda jela ni wa upande huo huo mmoja
  6. K

    Angalizo: muhimu Ukiwa kenya na Uganda au ukawa nchi ya Karibu na Tanzania kuwa makini zaidi

    Hapa wakatoliki na Nyerere wamefikaje? Hoja yako kwamba Magufuri amepandikiza mentality za kipuuzi uliianza vizuri kabisa hasa baada ya Kikwete kuweka foundation nzuri ya kuishi na wapinzani Ujue wanaomsema Kikwete kwamba ndo anaharibu hii nchi kuna muda mtu unakuwa "hovesi" kabisa. Mbona huyu...
  7. K

    Angalizo: muhimu Ukiwa kenya na Uganda au ukawa nchi ya Karibu na Tanzania kuwa makini zaidi

    Hizi tunazisoma tu lakini ki ukweli zinaumiza sana hasa hasa kwa familia na watu wao wa karibu. Mimi naskia huyo Twaha Mwaipaya ni ndugu wa damu na Abdallah Mwaipaya ambaye ni mkuu wa wilaya, daah! Najaribu kuvaa viatu vyake katika kutekeleza majukumu yake ya kitaifa lakini vikubwa
  8. K

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Mi natamani kuliamini hili hasa kila nikitafakari ujasiri wao wa kumtupa nje aliyekuwa makamu. Yaani kirahisi rahisi vile na leo hata haonekani kama madawa ya kulevya
  9. K

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Hii inaweza kuleta matumaini lakini inatia mashaka hasa kwa hizo confidence za kuongoza hivyo vikao vilivyoanza
  10. K

    Kule ntaandika bila kodi, Hapa naweka kodi

    Kwamba idara inaanza kumchunguza yeye? Si mlitwambia kule idarani amejaza watu wake anaowaamini? Wanawezaje kumchunguza aliyewapa ugali tena wao wenyewe wakijua sababu ya wao kuwa pale?
  11. K

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    wewe unajiuliza hivyo, mimi huwa najiuliza hivi hii misikiti inayojengwa kila mtaa huwa inajaa muda wa ibada? Kwanini iko mingi? Kwa mfano, niliwahi kuhesabu misikiti kwenye mtaa/kata fulani Morogoro ilikuwa karibu kumi na moja na yote iko sehemu ambayo wakazi wa maeneo yale wanaweza kufika...
  12. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  13. K

    Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Ni sahihi kabisa ameshindwa kuwaongoza walio chini yake kusimamia na kutenda kwa haki wasabato ni watu wanaosifika kwa kusimamia wanachokiamini hadi tone la mwisho (mfano mzuri hawa jamaa jumamosi hawafanyi lolote, iwe kazini, shuleni au chuoni) wako tayari kwa matokeo yoyote yatakayowapata kwa...
  14. K

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Hakuna shujaa asiyepita magumu, hata mimi nampongeza kwasababu kupitia yeye wapo wengine watakao pona
  15. K

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Hivi nyie mnajua milolongo ya kufuata hizo sheria mnazosema? Milango ya sheria inakuwa rahisi tu pale maskini anapokosea (kwa mfano huyu, haraka sana ataadhibiwa) lakini mlalamikaji akiwa maskini milango ya sheria huwa ni migumu na zaidi inazidisha hasira na machungu. Yaani hao hao watoa haki...
Back
Top Bottom