Recent content by Kiraka

  1. Kiraka

    Mtoto wa kiume unaweza kumwambia baba yako “I love you daddy” ?

    Tufanye alikuwa anaongea na mama yake, je angemaliza na kusema I love you Mama, ungeona ni sawa?
  2. Kiraka

    Sijui nataka kusema nini Wamama wa Arusha na Moshi walionilea waume zao washafariki, wamebaki wao kama wenye Wenye Nyumba

    Washirikina wengi hujificha kwenye mgongo wa dini. Sehemu nyingine yenye usihirikina wa kutisha ni Kariakoo, makabila mengi yaliyopo kariakoo ni washirikina sana. Haya jiulize kuna makabila gani mengi Kariakoo.
  3. Kiraka

    Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Mkuu usiumize kichwa sehemu yoyote ukiona Bashite anakomaa jua kuna hela inataka kupigwa. Jua tu hivyo.
  4. Kiraka

    Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Mkuu usiumize kichwa sehemu yoyote ukiona Bashite anakomaa jua kuna hela inataka kupigwa. Jua tu hivyo.
  5. Kiraka

    Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Maana yako hapa ni kuwa mahakama haina nguvu ya kuwaita hao jamaa.
  6. Kiraka

    PostGE2025 Mchange: Waliosababisha watu kufa Oktoba 29 ni Mange na Maria Sarungi

    Huyu jamaa hata kwa kumwangalia tu unagundua ana tatizo...
  7. Kiraka

    Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Basi wazazi wako wako sahihi kabisa na kukuambia ujichanganye. Maisha hayako hivyo, kijana mdogo unaishi kizee mpaka una athirika na nyeto, ona sasa hata erection imegoma. Hebu jichanganye mtaa uone watoto wazuri kama hukupona ugoi goi huo.
  8. Kiraka

    Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi

    Ukiwa mgumu wanapitia kwa mke, mtoto wako. Sasa ukionekana wewe kichwa ngumu sana, bora uwapishe tu. Na ukisha ingia kwenye huo mtego huwezi toka maana umesha chafuka. Sasa unaelekezwa kwa remote.
  9. Kiraka

    Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Nilisikiliza mama anaongea hivi aibu nikaona mimi. Yaani hili nalo linakuwaje katika ahadi za kampeni? ni kutuona makenge tu.
  10. Kiraka

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Ujinga na umasikini umetamalaki sana. sioni kabisa tukitoka hapa.
  11. Kiraka

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Wakiwa wengi watajaza kanisa ndio kinachotafutwa, baada ya hapo watashuhudia maigizo ya kufufuliwa na picha, video zitapigwa, wajinga wengine wataona na kuamini, kesho watajaa tena na hizo mia tano zitakuwa nyingi. Angalia picha kubwa kijana. Same thing kwenye huo mkutano, watajazwa hao raia...
  12. Kiraka

    Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Mapenzi gani kuwafuata wateja wako waje wakulipe? Kikubwa hapo ni hiyo biashara wanayokuletea. Ndio sawa na hao wanaobebwa na malori, ni kuja kuhalalisha kura.
Back
Top Bottom