Recent content by Kiraaa

  1. K

    Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    habari ndugu zangu hatimaye ni siku nyingine tena katika dunia hii..mungu atuzidishie afya na kwa wale walio na ugojwa poleni na mungu awajilie afya murejee sawia.. sasa tayri nimepata passport na nimeshiba nimejilaza kwa kitanda cha wageni mishale ya saa 3na 4 hivi pembeni ashtrei inafuka...
  2. K

    Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    hahaha..acha niko nchi za watu huku
  3. K

    Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    polee lafudhi yangu na siunjua tena mm sio mwandishi pamoja mzee
  4. K

    Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    polee lafudhi yangu na siunjua tena mm sio mwandishi hila ntajitahid
  5. K

    Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    habari ndugu yangu natumaini uko njema wa afya, na kama si hivyo polee. kwa jina naitwa ...... Fulani hila kwa sababu ya hili nililoamua kushikilisha adhira sinto tananabaisha kinagaubanga wasifu wangu..huenda walegwa wa hili wakapata nakala hii hiii si hadithi ya kubuniwa wala kutungwa ni...
Back
Top Bottom