Recent content by kipusamtoto

  1. K

    GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

    Ingekuwa CCM ndio ipumzike sio Ndugai tu.
  2. K

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    { مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَاۤ أَحَدࣲ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَـٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِیِّـۧنَۗ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَیۡءٍ عَلِیمࣰا } [Surah Al-Aḥzāb: 40] "Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Messenger of Allah and the Last of the Prophets, and Allah is...
  3. K

    Wanaume wa JF bana, eti mtu anatumia dakika 15 hadi 20 kuoga, 🤣🤣

    Hivi kwani mnaoga! ili iweje yaani. Kama ni usafi mbona taulo inachafuka.
  4. K

    PreGE2025 Kabudi ahoji Kura ya Ndiyo au Hapana ni 'reform'?

    Na ndio tulivyoona CCM wamepigiwa kura ya nd na hapana, akapita SSH, HM na EN. Ovyoo!
  5. K

    Wabunge na Viongozi wanatuhumu wakurugenzi na wakuu wa Idara mara kwa mara!

    Peleka mjadala kwenye vikao vya chama, tuliopo hapa wengine hatuna vyama.
  6. K

    Kampuni ya TBL yakubali kufuata maelekezo ya Serikali kununua shayiri nchini

    Kumbe Hussein hana dini sikujua, ndio unaniambia. Hayo ulionisingizia ni yangu binafsi, lkn ya ulevi ni ya wengi.
  7. K

    Kampuni ya TBL yakubali kufuata maelekezo ya Serikali kununua shayiri nchini

    Masikini Bashe, siasa imempelekea kusaidia haramu.
  8. K

    Kama unatumia 'self contained house' jua ya kwamba unamuenzi mtu huyu

    Kwahiyo mkewe hakujua kilichoendelea? Tafuta fix nyengine.
Back
Top Bottom