Recent content by Kipenseli

  1. Kipenseli

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Wanangu wenye shida hii msikate tamaa na usikufuru Mungu kwa maana yeye ndiye mkadiriaji wa kila jambo, nilipata hii changamoto nikajikubali moja kati ya tips zilizonisaidia kujitambulisha kwa watu kua una changamoto fulani ukifika sehemu waambia na ujitambulishe kila kitu kinakua smooth japo...
  2. Kipenseli

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    umeambiwa kua tinnitus inayokusumbua ni kwa sababu ya hilo tundu kwenye ngoma ya sikio?
  3. Kipenseli

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Kaka ajira unapata kirahisi sana japo ujipange pia omba kazi hasa za serikalini. nilikua nina shida hiyo lakini nimefanya interview moja tu nimepata kazi, faulu written alaf oral wanakusaidia mimi nilipata changamoto nikiwa advance chuo nikaja kufaulu vizuri tu now napiga kazi
  4. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Itafikia kipindi (Wakati ambao ushachelewa) ndio utajua na kugundua umuhimu wa dini kwenye maisha yako kuliko hayo mambo mengine ambayo unayapa kipaumbele
  5. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Ahsante kwa taarifa
  6. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Kwahiyo brother kwa akili yako unahisi ni sawa kufata habari specifically alaf unakutana na habari nyingine? Jukwaa la Dini (It means all included)
  7. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Ni opinion yako , mawazo ya mtu yaheshimiwe Nielekeze ofisi za BAKWATA
  8. Kipenseli

    Hivi humu hamna Jukwaa la Uislamu?

    Sasa shida iko wapi? Mtu kupata elimu ya dini yake specifically kupitia JF??
Back
Top Bottom