Recent content by kipanta the boss

  1. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Kivipi? Utakuwa shabiki wa uto wewe sio bure
  2. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Sina neno, tutakutana tu ila mjiandae pia
  3. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!
  4. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Unamjua vizuri PIPINO? jaribu kumfatilia
  5. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Tusubiri tumuone labda anaeza kuwa mzuri, hii sajili bora iishie kuwa trial tu , roho yangu inagoma sijui kwanini
  6. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Usajili wa msindo ungekuwa poa sana upande wa beki 3, beki mbili pia tunapaswa kuongeza nguvu, CB pia angepatikana mmoja wa maana , DM pia muhimu sana kuongeza, eneo la goli kipa pia linapswa kuongezewa nguvu zaidi .
  7. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Moja ya sajili nisiotaka ipite ni hii! Sina imani kubwa na huyu mchezaji kwa upande wangu
  8. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Hawa watu hapana ase, na hapo dogo akiondoka wataanza kutuma mauchawi yao kama walivomfanyia mayele. Ni timu fulani inayoongozwa na watu wenye roho za uchawichawi
  9. K

    Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Hii wamepandisha majuzi baada ya kuona dogo offer zinamiminika
Back
Top Bottom