Recent content by kipanga mweupe

  1. K

    Jobs at Nestlé Global(El-Salvador)

    Kama kweli ingia hapa website ya nestle na uangalie na uwasiliane nao na jaribu kucheck hata kwa simu ulizia ukweli Jobs | Nestlé Global Na kutokana na hii ina maana any e mail ya mfanyakazi inekuwa inaishia na domain ambayo ni ..........@nestle.com na sio vinginevyo
  2. K

    Jobs at Nestlé Global(El-Salvador)

    Achaneni na hawa jamaa.......ni matapeli na wapo Dar es Salaam. Mwanzo walikuwa wanamtumia dada mmoja yupo Ubungo NHC karibu na Hoteli ya Kibadamo ktk kukamilisha utapeli wao.......na wamefanikiwa kweli na kuwaumiza wengi sana na wakapotea kimya kimya. Sasa wamekuja na staili mpya ya...
  3. K

    nafasi za kazi SUA

    Sehemu nyingi Bongo ndio hivyo...................kujuana tu, no professionalism......mimi nilkuwa Bongo kwa muda lakini nikarialise ndivyo ilivyo. Halafu na haswa sisi tuliokaa muda mrefu Ughaibuni na kusoma na kufanya professional jobs (sio kubeba box), ndio kabisaa wanatuona kama threat kwao...
  4. K

    Wanawake bwana

    Yaani ni ukweli kuwa some of the wanawake akiwa nacho anataka kutawala, yamenikuta mimi pia lakini nilikuwa a bit smart. Niliamua kuwa low profile na kufanya mambo yangu kimya kimya na kufanikiwa kupata kazi with multinational company nje ya nchi (Europe to be specific) Mhnnnnnnnnn.....sasa...
  5. K

    Kuhusu Joseph Mungai

    Jamani kwa taarifa Mungai sio Muhehe.......ni mlowezi wa kutoka Kenya, kwahiyo hana kiburi cha Mkwawa..........hicho tuachieni sisi tulio wahehe. Na sasa ukweli ndio huo...........anakimbia kwasababu hana uchungu na hii nchi, kwa asili yeye ni Mkenya. Be Mungai....tulongele ve wi...
  6. K

    Tuhuma za Ufisadi alizoibua Nape: Mwita Waitara ajiengua UVCCM, adai amedhalilishwa

    Nyambafuuuuu.........bora huyo Mwita asemaye ukweli, kuliko hao wanaokaa kimya ili kulisha matumbo yao!!!!!
  7. K

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Yambafuuuuuuuuuuu..............!!!!!!
  8. K

    Mtoto wa Mungai mbaroni ni Kuhusu Saga la Kugushi Vyeti vya Elimu

    Changa la macho hilooooooooooooo.......! Hamna mtoto wa kigogo yeyote yule hapo, na wamechukua wahesabu noti tu.....mbonahawajachukua huko juu? Hapo tunadanganyana tuu!! Nadhani wanakijiji tunaliona hilo.....na Mungai yule si mtoto wake!!!!
  9. K

    Watanzania changamkieni ajira Umoja wa Mataifa --DK MIGIRO!!!

    Miratkad ingia hapa na uji-register kwanza.....kwani ndio sharti la kwanza (ni ka-process karefu kidogo, lakini ukimaliza mengine mteremko!!!!) https://jobs.un.org/Galaxy/Release3/vacancy/vacancy.aspx?lang=1200
  10. K

    Govt declares war on fake certificate holders

    Watupe kwanza qualification za mawaziri tuanzie juu na toune uwajibikaji wa SIRIKALI na ndipo tuje chini............JK yeye ni safi tunamjua, lakini baada ya hapo je wote ni safi???? Tuanze juu ambako ni wachache, kisha tuteremke chini ambako ni wengi. Waziri kama usemayo ni kweli, nadhani...
  11. K

    JF Karibuni Tanzania Professionals Network

    Mr. Mtsimbe nakubaliana nawe sana kwa uliloanzisha, nami nipo mbioni kuwasiliana nawe na kujiunga na TPN kama mmojawapo wa Diaspora kwani baadhi yetu tunataka kuja nyumbani sasa. Na nilikujua toka wakati wa Mnazi Mmoja Applied Computer nikiwa mwanafunzi wako. Nakutakia kila la kheri na...
  12. K

    Ze Comedy Watinga Bungeni

    Pamoja na yote, nadhani nia ya EATV ilikuwa kuwakomoa vijana tu! Na ilitumia nafasi ya ujinga wao wa kutojua sheria kuwakomoa.........which is not good! Kwa hali ya Kitanzania na jinsi vijana hao walivyojitahidi kujiajiri, nadhani kwa maoni yangu EATV walitakiwa kama walikuwa na nia nzuri na...
  13. K

    Hakuna cha Kamera, wala ushirikina - Polisi

    Mhnnnnnnnnnnn........ninaguna na majibu yaliotolewa kea mujibu wa uchunguzi wa Mkemia Mkuu kwani simuelewi. Hii inaelekea kumsema Spika wa Bunge aliongopa.........je tunaweza kupata ukweli Spika aliposema kamera zilinasa watu wawili kuwa ndani ya ukumbi wa Bunge alitoa wapi taarifa hii? Na...
  14. K

    Anna Abdallah naye ni fisadi?

    Kamalaya hako kamwanamke ka-Anna Abdallah Mhavile Kawawa Msekwa..............nasikia hata kuna tuvijana nato tunajilia kidogokidogo, kanavikamatia tu!!!!
  15. K

    Kashfa ya EPA: Mwanyika azidi kujichanganya

    Wanajumuia na Watanzania wenzangu....naona sasa hili suala la pesa za EPA linaanza kuzungushwa sababu tu ni ule usemi wa mwenzetu unaanza kufanya kazi. Haingii akilini jinsi tume inavyotoa taarifa kwa usiri usiri wakati kampuni ya Ernst & Young ilimwaga hadharani majina ya makampuni...
Back
Top Bottom