Ila hii kali, hata kama Ngeleja ni mshikaji hapa sikutetei hata kidogo, umeniangusha. Kukutetea ktk picha hii ni lazima mtu kwanza ukose uzalendo wa nchi yako, na pili, lazima uwe mwendawzimu au taahira kidogo. Hili hapa ni lako kaka, libebe mwenyeweeeee!!!!