Recent content by Kinson

  1. K

    Leo nimesoma kitabu cha plato nimeogopa sana!,kumbe mengi ni marudio ya kale!

    Bingirita kimba wawili wanasapotian katika kuyabingirita🤣🤣
  2. K

    Wizi mita za maji Dodoma: Yabainika zatumika kutengenezea bangili na pete

    Hapo DUWASA Kuna mfanyakazi wao anakatakata mita Kwa fundi kuchomelea anaitwa Big pembeni ya ofisi Yao. Vyombo vya Sheria viwaulize machalii WA hapo kistaarabu watawatajia jina la mwamba anaendaga kukatakata mita Kila mwezi hapo
  3. K

    Utumwa unavyoendelea kutuumiza waafrika

    WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
  4. K

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Mim sio bendera na kamwe siwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa yeyote ila nitamuunga mkono mwenye nia ya dhati kuisimamia kiapo chake alichoapa kuisimamia katiba na kulinda rasilimali za nchi, SIO WA KUTUCHEZEA SHERE
  5. K

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Ninyi ndio mnaochochea machafuko Kwa kuwanyamazisha Kwa kifo wanaopinga hoja zenu, sas mtataka Kila siku mtumie hixo njia watu wawaangalie. BRO VITA VYA PANGA HAVIAMULIWI KWA FIMBO
  6. K

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    MSITUMIE NGUVU KUBWA Gharama ya maisha imepanda toka HANGAYA arithi madaraka alaf MAYALA NA UZEE WAKO tukategemea utakuwa wa kwanza kukaa na vijana na makundi ya wapiga kura wengine kuwaambia kwanin TIMU YA NYUMBANI haipaswi kuendelea kuongoza hii nchi. VIJANA TUNAOJIELEWA HATUNA CHUKI NA NYIE...
  7. K

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    KAMA LENGO LAKO NI UTEUZI SUBIRI 2026 watakuteua kuwa msemaji wa UMOJA WA WAKINA MAMA WA CCM
  8. K

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    NO REFORM NO ELECTION# USISEME BAADA YA UCHAGUZI SEMA BAADA YA UWANJA KICHAFUKA NYIE MASHABIKI WA TIMU YA NYUMBANI MTAIOATA NGUVU ILE YA MIGAMBO YENU KULINDA UHAI WA MITI YENU HADI NYUMBANI MANA NAJUA MAREFA NA VIP WATAHAMA UWANJA VIA VISA
  9. K

    Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

    Ndio tupo tayar kupotez na yetu pia in WIN WIN SITUATION OR BOTH TEAM TO SCORE✌️✌️✌️
  10. K

    Ushauri: Akaunti zote za kanisa la Gwajima, na zile zake binafsi na za viongozi wote wa kanisa zigandishwe (frozen) ila kusubiri hatima

    Wew n mbwa kama walivyo mabwana zenu, kumfungia Gwajima ndio kujibu hoja za msingi za utekaji na ufisadi. TUPO TAYARI JINO KWA JINO NANYI HUU MWAKA mnajiona mkishakuwa Uvccm nchi n yenu. Sikilizieni milio sashv. Mzee Ali Kibao, Mdude damu zao mtazilipa Kwa gharama kubwa nyie kunguni. Uanze...
  11. K

    Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Usiseme dikteta uchwara. Wew ndio una njaa bila kujipendekez kw mabwana wenu CCM wanao hawaendi chooni. Ila kuibiwa Kodi na kupelekwa kweny matumizi binafsi ni mabwana zenu tu ndio wanafaid. Kam sahan ya ugali unaambulia ule upupu mdogo dogo. Alaf ukivimbiwa ndio unakuj kunya humu JF unasahau...
  12. K

    Walimu wasio na ajira wasakwa kama ndege na Jeshi la Polisi!

    Kikundi cha kihuni ni wew na mbwa wanaowatuma. AMA ZENU AMA ZETU HUU MWAKA
Back
Top Bottom