Recent content by kinsakina

  1. K

    Maendeleo: Tanzania kuanza kutengeneza Vichwa vya Treni

    T Tena viwe na rangi ya kijani na njano
  2. K

    Kifo cha binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, hata pole hawajatoa!

    Inauma Inauma sana yaani unafytua risasi kwa binti mdogo kama huyu,tuna watu wanaroho mbaya ajabu mungu na awalipe sawa sawa na matendo yao
  3. K

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Tuonyeshe na kwenu tuone hayo matope
  4. K

    IDU imelaani hukumu dhidi ya Tundu Lissu, na kusisitiza achiriwe huru mara moja

    Hivi kumbe majaji wanawexa kuwa hovyo kiasi hiki kumfunga mtu kwa kosa asiloshitakiwa nalo
  5. K

    Heche: Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi, nikimuuliza Polepole na Nchimbi wako wapi atanijibu..?

    Hiyo tone ni hela zetu tunempa heche ale,anywe bia mpaka zimkome sio za kodi hizo
  6. K

    Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

    Leo ndo amejua katiba imaruhusu kujieleza,sasa kwanini mnateka na kupoteza watu wanapotoa maoni yao
  7. K

    Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    miili ya vijana wetu waliouwawa iko wapi,wangejibu kabla hawajafaa vinginevyo mola hatawaacha salama
  8. K

    Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza

    Polisi wasituchanganye hapa ,ilikuwaje dakatari akapata majera wakati wao wanamshitaki kwa kumpiga polisi,inammana na yeye alijipiga mwenyewe
  9. K

    Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Hizi rushwa ni aibu kwa jeshi la polisi ,ni wananjaa vibaya sana,siungemuandikia faini atalipa baadae
  10. K

    Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Hakuna kupoteza muda tumia utaalamu wako,we ndo daktari mwenyewe kila mtu amwogope mwenzie
  11. K

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

    Common wealth ilishasema kesi ni ya uwongo na lisu aachiwe bila masharti lakini bado wanalazimisha uongo kwa sababu wanamiliki mahakama
Back
Top Bottom