Recent content by Kinkunti El Perdedo

  1. Kinkunti El Perdedo

    Mh.Waziri Aweso Mfute Kazi Meneja Wa MWAUWASA.

    Mwanza. Naandika jambo hili nikiwa na hasira sana,juu ya kero ya maji katika jiji la Mwanza.Sote tunafahamu Jiji hili lina chanzo cha uhakika cha maji (Ziwa Viktoria) Sasa huu ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo unasababishwa na nini ? Si Machweo si Mawio,naona watoto wakiume nawa kike...
  2. Kinkunti El Perdedo

    Ni kifo cha Mhusika gani wa kwenye Movie au Series kilikuumiza sana?

    Iris one ni moja ya series bora kabisa kutoka SK.
  3. Kinkunti El Perdedo

    Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Nchi ya wachuuzi hii, matajiri wetu wanaweza kumiliki viwanda vya juice tu ,rejea maneno ya Prof.Muhongo
  4. Kinkunti El Perdedo

    Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Katika suala la kufanya miji na majiji kuwa misafi na iliyo pangiliwa niko pamoja na serikali. NB:Wapangiwe maeneo ya kufanya biashara zao.
  5. Kinkunti El Perdedo

    Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Hizo stories zipo kwenye vijiwe vya kahawa.
  6. Kinkunti El Perdedo

    Mnyika amedhihirisha kwamba uprofesa wa Tanzania ni takataka

    Kuna tofauti Kati ya akili halisi na kukariri madesa.
Back
Top Bottom