Recent content by kinje ketile

  1. K

    FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

    He....eebana e ! Nimeamini mtoto mdogo halali na hela..! Ngoma ya Kitoto haikeshi...
  2. K

    Kila la kheri kocha MANQOBA MANQITH

    Mmenikatili sana enyi Yanga... nilikuwa nimemlipa mtu wa kunifundisha jinsi ya kulitamka Lile jina... Maana Wengine baada kushindwa kutamka wakamwita ' Mpiga miti' na Wengine eti ' Maboga mabichi'... mna dhambi sana waja..
  3. K

    FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

    Bwana Maboga mabichi aachwe... Hiyo timu wachezaji ndo hamna kitu... Suluhisho hapo ni dirisha dogo tu.... Wachezaji wa kigeni wasiopungua 7 piga chini...
  4. K

    FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

    Refa achunguzwe,hatutaki matuta ya ajabu ajabu
  5. K

    FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

    Kocha apepewe... Ni mpaka baadhi yetu awapeleke kaburini kwa BP na kisukari ndo tumtimue..!
  6. K

    FT: TRA 0-0 Yanga SC | Ligi Kuu NBC | 24 Oktoba, 2026 | 10:00 Jioni

    Kangwanda hajamaliziwa pesa zake..! Bacca na Nzengeli bado hawajapewa mshahara wa Septemba. Unategemea nini hapo? Mwacheni kocha wa watu..
  7. K

    FT: 15 de Agosto 1-6 Simba SC l CAFCL - first Leg l Uhuru stadium l 21 October 2026

    Might Wanderers 6 ... Fc 15 De agosto 6.... Simba kwani mna mpango gani huu mwaka?
Back
Top Bottom