Je, bado unatumia daftari kufuatilia mauzo, bidhaa zilizobaki stoo na faida ya biashara yako? Au unalazimika kuwapigia wafanyakazi wako kila siku ili kujua biashara imeendaje?
Dukani POS ni mfumo wa kisasa unaokuwezesha kusimamia biashara yako sehemu moja, kwa urahisi na kwa ufanisi.
Kupitia...
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia imekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo kwenye sekta mbalimbali, ikiwemo michezo. Vilabu vikubwa duniani vinazidi kutumia Data Analytics, Artificial Intelligence (AI) na mifumo ya kisasa ya kidigitali kufanya maamuzi kuhusu usajili wa wachezaji, mbinu...
kama unahitaji mfumo wowote; wa shule, biashara , ofisi, Kusimamia duka, studio, basi nipigie hapa 0620224372 au whatsapp.
tembelea tovuti yangu uone mifumo iliyopo tayari BONYEZA HAPA
kama unahitaji mfumo wowote; wa shule, biashara , ofisi, Kusimamia duka, studio, basi nipigie hapa 0620224372 au whatsapp.
tembelea tovuti yangu uone mifumo iliyopo tayari BONYEZA HAPA
Bwana mdogo sizani kama kukimbia ni tatizo. najua ukikimbia atateseka na huo uja uzito, utamuongezea fedheha katika maisha yake, atajiona kama amelaaniwa, atatokwa machozi ya kukutakia mabaya.. akijifungua, ipo siku mtoto atamuuliza "Mama baba yuko wapi" atashindwa kumpa jibu sahihi, labda...
wakiwa madarakani wawahimiza vijana wanaotoka vyuoni kujiajiri, wakivuliwa uongozi wanaanza kutia huruma na kutaka kuendelea kupewa nafasi. hela zote ulizopata kipindi unaongoza si utumie kama mtaji ili ujiajiri kama ambavyo mnavyohimiza vijana wanaotoka vyuoni..
Wakuu toka nimeApply kazi ajira portal hadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba kazi. kumbuka hii ni mara yangu ya kwanza kuApply kazi za government.
Lakini ukiangalia kwenye hiyo attachment, nilikosea anwani, ikawa rejected, lakini nyingie hadi sasa sijaona status update yoyote.
Swali...
🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU!
Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo.
✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari.
✅ Achana na usumbufu wa Excel.
✅ Rahisisha mauzo, stock, hesabu na ripoti.
✅ Pata suluhisho kulingana na mahitaji ya...
Habari za wakati huu, wana JamiiForums.
Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao.
Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.