Recent content by kingabdiel

  1. K

    Zitto: Deni la Taifa kwa miaka 4 limeongezeka sawa na uongozi wote wa JK kwa miaka 10

    Deni la taifa linajumuisha deni la serikali na binafsi,pili unatuambia tsh tirilion 22 ni sawa na USD billion 22? acha uongo
  2. K

    Tanzanian president urges Ministers to 'take advantage' of refugee crises

    Kudumisha ushirikiano wa nchi za kusini ( south-south cooperation ) ni muhimu sana ,ukiwa na tatizo lolote nenda kwanza kwa nchi za kusini kabla hujaenda kwingine na kukiwa na fursa zitumie. Ushirikiano wa shida na raha. - Huu ndio ulikuwa Msimamo wa Mwl. Nyerere Tuache unafiki , wakati ndio...
  3. K

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Nafikiri ni wakati wa kutilia maanani hizo tuhuma,kwani ni mbinu na biashara ya wakoloni mambo leo kudhoofisha nchi nyingine kwa kutumia watu wenyewe wa nchi hizo. HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA tusitoe mashambulizi binafsi. Wahenga walisema " lisemwalo lipo kama halipo basi laja" tukumbuke" Ignore the...
  4. K

    Msigwa ataka Ikulu iuzwe

    "HAWA WALISHAUZWA KWA BEI YA JIONI WAKANUNULIKA"
  5. K

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Inabidi tujifunze juu ya mfuma wa uongozi wa nchi tulionao.Raisi ni mkuu wa nchi na mkuu wa serikali, yeye ni tofauti na wakuu wa mihimili mingine nchini. Mwajiri mkuu wa watumishi wa umma ni Rais. JPM amekuja na mpango wa kubana matumizi ya serikali- hata mahakama na bunge kwenye maumizi...
  6. K

    #USHAURI_KWA_WANACCM_na_SERIKALI

    Waliomuondoa Ghadafi Libya hawakuwa watu wa libya, wo walitumiwa 2. Wameachwa wakipigana wao kwa wao. Waliofanya hiyo dhuruma nao yanawatokea puani sasa. Tusikubali kutumiwa
  7. K

    Nape: Msajili wa vyama kashauriwa vibaya swala la Balozi wa China

    Nape ni mweupe mno kichwani,anatuabisha vijana
  8. K

    WanaCCM tutamkumbuka kwa lipi katibu wetu wa itikadi na uenezi akishaondoka madarakani?

    He doesn't know what he is suppose to do. Anatakiwa jusema jambo lilioamriwa na vikao vya juu vya chama,msimamo wa chama na SIO Maoni yake.Huyu jamaa ni mtupu (mweupe) kichwani. Amebebwa tu kupewa nafasi hiyo
  9. K

    Tanzania Ijifunze Toka kwa Wanamtaa wa Mbuyuni, Kata ya Makongo-Wilaya ya Kinondoni

    Leo Tarehe 04 August 2013 ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mbuyuni- Kata ya Makongo,(Dar Es- Salaam).kuna wagombea wawili ndugu.Jerome Kalemaula (CHADEMA) na Bi. Tumaini Hemedi (CCM).Mambo yote ya ufunguzi wa matawi na Kampeni kwa vyama vyote yamefayika kwa...
  10. K

    Kampeni za uchaguzi wa mwenyekiti- serikali ya mtaa wa mbuyunni, kata ya makongo,wilaya ya kinondoni

    Vyama vya CCM na Chadema yapambana.Kapeni zaaanza leo na uchaguzi ni tarehe 11 august 2013.Hii ni dalili kuwa 2015 patakuwa hapatoshi
  11. K

    Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

    Nakupa pole sana Kamamda, CCM waanaelekea pabaya na wasiopobadilika kitakufa na hakitaweza kufufuka kamwe.Kuhusu kushindwa uchaguzi 2015 kwa wabunge hiyo ni MUST,wasipobadilika Uraisi nao kwa heri.Dhambi zinazofanywa na wabunge wa CCM bungeni hazitasamehaewa kamwe. CCM wanajiona kuwa wao no...
  12. K

    CUF yameguka vipande vipande

    CUF wazanahitaji kujivua gamba kwani tunakokwenda watapoteza hata majimbo ya pemba. Hawana jipya zaidi ya MIGOGORO na MALUMBANO.
  13. K

    2010 FIFA World Cup South Africa

    [QUOTE= "there is nothing new wth england , they have to wait a little longer" i think for the first time on the African soil and for the first time an African team win, our time is now
Back
Top Bottom