Recent content by King Nkondo

  1. King Nkondo

    Msando: Waliovunjiwa vibanda wawe wavumilivu

    Acheni janja janja sheria ni msemo bahati nzuri hili zoezi ni la nchi nzima, msando hayupo juu sheria kwa hiyo suala asiletee siasa kabisa!!
  2. King Nkondo

    Msando: Waliovunjiwa vibanda wawe wavumilivu

    Tanroads wametangaza deadline kila mkoa ulikuwa una deadline yake!!
  3. King Nkondo

    Msando: Waliovunjiwa vibanda wawe wavumilivu

    Deadline ilitolewa shida wabongo nyie wabishi mno!
  4. King Nkondo

    Zaidi Jumanne Muliro: Wamevunja vibanda vya Wafanyabiashara Mbezi Msuguri, wanakodisha kwa mabepari

    Hivi watz mnataka nini hasa? Sheria zikifuatwa tatizo zisipofuatwa napo tatizo sasa mnataka nini?
  5. King Nkondo

    Hiyo si sawa dereva wacha vituko

    Makande ya shinyanga si mazuri kwa afya yako!!
  6. King Nkondo

    Rais Samia: Acheni kumhangaisha Waziri Mkuu

    Wakuu wa mikoa na wilaya kuweni kama mnyeti wa Geita, jamaa anachapa kazi sana kiasi kwamba mwigulu alipofika Geita hakukutana na kero hata moja!!
  7. King Nkondo

    Admini alisema tarehe 26 Novemba, 2026 isiguswe! Enheee… sasa leo ndio tumewafikia!

    Tanesco mtafuteni daud kafulila awepe mbinu ya kushirikiana na sekta binafsi kupitia ppp make nyie Tanesco mnazingua sana hampo profit oriented!!
  8. King Nkondo

    Wenzangu mmeelewa nini kwenye picha hii ya Masoud Kipanya?

    Kuweni na adabu hata kidogo basi!!
  9. King Nkondo

    Wenzangu mmeelewa nini kwenye picha hii ya Masoud Kipanya?

    CCM ipo ktk mikono salama ya mwenyekiti jemedari dk samia, pamoja na hujuma za chadema bado ni sawa na msumeno butu ulioshindwa kuiangusha CCM ya samia na samia kasimama imara juu!!
  10. King Nkondo

    Ikiwa "majeshi yote ni mali ya CCM" , askari wenye kuipenda CHADEMA wafanye Nini?

    Waache kazi ama wajali mshahara full stop.
  11. King Nkondo

    Safi sana Mheshimiwa John Heche!

    Kwa hiyo Tanzania haina rais?
  12. King Nkondo

    Safi sana Mheshimiwa John Heche!

    Bado haiondoi ukweli kuwa samia ni rais wa Tanzania!!
  13. King Nkondo

    CCM watambue sasa kuwa Chadema ina nguvu ya kisiasa zaidi yao. Wachutane!

    Wasilale na wasipumue kisa cdm unaota nini? Cdm ingekuwa ina influence kiasi hicho unachosema wewe wangekubali masharti uchwara ya Heche, so far unaona Heche kapauzwa ni sababu mzizi wa so ya mo29 ushakatwa.
  14. King Nkondo

    CCM watambue sasa kuwa Chadema ina nguvu ya kisiasa zaidi yao. Wachutane!

    Hao wanaccm waliokengeuka washakula kibano akiwemo yuda mkuu, so lissu naye mwacheni apate stahili yake make pia uchochezi wake uliwaweka nyumbu baadhi standby ukija kuongezea na influence ya hawa makpro waasi mission ikawa imekamilisha chanya na hasi moto ukalipuka
Back
Top Bottom