Recent content by king kush

  1. K

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    rudi kafanye tafiti kuhusu ukuu wa mwafrika halafu tuletee mrejesho
  2. K

    Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

    kabla ya kukushauri hebu tueleze kwanza baba yake analo??? au amewahi kumiliki??
  3. K

    Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

    ukimtoa mzee kikwete na babaake,mliobaki wote kichwani ni -0. watu ambao hawajui mpira wanasahau kwamba msimu huu simba wanatengeneza timu, matokeo chanya wanayoyapata ni swala lingine kabisa
  4. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mi mbona hawa sportybet siwaelewi????? kuna siku nilitandika mkeka vizuri tu. baadae nakuja kuuangalia unaendeleaje nikakuta wamenibadilishia timu kwenye ule mkeka... jana tena nilitandika mkeka wa siku 3 wa over 0.5 tupu mechi zote cha ajabu usiku naangalia maendeleo ya mkeka nakuta mechi mbili...
  5. K

    Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis anamtazamo gani kuhusu mmea aina ya bangi na matumizi yake??
Back
Top Bottom