Kama kompyuta unayotumia ni desktop, na ina stand alone keyboard, jaribu ku-update drivers.
Pita njia hii System>Administration>Hardware Tools
Kompyuta yenyewe itafanya automatic serach na kukwambia kama kuna drivers zinahitaji kuwa installed. Kisha utafuata prompts mpaka mwisho...
Ideologies aside, Jakaya Kikwete is an absolute flop. His administration has failed to fix the simplest of problems. How do we expect him to fix giga problems?
I reckon he's not gonna be able to fix tatizo la umeme in his entire 10 year tenure, circumstances allowing of course.
How do we...
Tanzania tunatia aibu, hawa watoto wamefanya kitendo cha ujasiri ambacho sisi watu wazima tunashindwa kwa uoga. Hawa kama ni sample ya generation ijayo wanafaa kuungwa mkono.
Inabidi kila anayedhulumiwa haki yake achukue hatua mkononi ndiyo wenzetu walioko madarakani watashtuka, otherwise...
hii debate inapoteza mwelekeo, kama kawaida kukiwa na mambo muhimu ya kujadili drifters hawakosekani.
issue hapa ni serikali imewauzia Korea ardhi au la? haya mengine ya nyumba za mabati na makuti ni irrelevant, na ndiyo maana hatupati solution.
Prime Minister Pinda should come clean on this, atwambie anajua nini kuhusu huu mradi.Na yeye alipokua Korea walizungumza nini na hao wenyeji wake kuhusu swala la ardhi. Vinginevyo hii kitu ni swala muda tu, watakuja watafanya wanavyotaka na tutanyamaza.
ukoloni kama mfumo wa kueneza himaya na kulinda maslahi unakuja na sura tofauti, nchi moja yenye nguvu kiuchumi na kisiasa kuinyonya nchi masikini
zamani ilikuwa mkoloni anaitawala nchi nyingine katika kila nyanja, lakini enzi hizo zilishapita. kwasasa ukoloni umejikita kukomba maliasili za...
Baada ya kuona taarifa za Korea Kusini kutaka kuhodhi eneo kubwa la ardhi nchini Tanzania kwa ajili ya kuendesha kilimo kukidhi mahitaji ya matumbo ya raia wake, nime-search online kwa dakika kumi nimegundua madudu ya kumwaga!
Viongozi kuanzia aliyeko Ikulu mpaka mwenyekiti wa kijiji...
Kenya haina wakimbiaji wa mbio fupi. Hata hao wazanzibar sprinters wako bora kuliko wakenya.
Kwa Tanzania, maeneo yanayotoa sprinters ni Zanzibar, Iringa na Mbeya. Singida, Arusha ni mbio ndefu.
Ndugu zanguni, hapa chini ni mkusanyiko wa baadhi ya ajira za Umoja wa Mataifa ambazo ziko ndani ya uwezo wa walio wengi. Ikiwezekana mshitue mwingine na mwingine amshtue mwenzie...hakuna kujuana - ni uwezo wako tu. Muhimu ni kujaribu, yatakayofuatia baadaye ni majaliwa.
Public...
Ndugu zanguni, tusiishie kulalamika wakenya wanatupiga bao. Hapa kuna ajira za Google kwenye ofisi zao za Nairobi na Johanesburg.
Requirements siyo ngumu, tuna wasomi wengi wenye uzoefu.
Bonyeza hapa
Sisi bajeti yetu ndiyo hivyo tena, lakini nadhani kuna umuhimu wa kujilinganisha na jirani zetu Kenya na Uganda.
Nimeangalia Kenya wamenifurahisha kwa mtizamo wao wa mageuzi ya teknolojia. Sisi tunapiga porojo la kukuza kilimo cha pamba, hebu angalia wenzetu wanavyojipanga.
Tax cuts and...
Huenda si hoja mpya, lakini najiuliza endapo tunajua kwamba Kenya inanufaika zaidi na Kiswahili licha ya kuwa na wazungumzaji wachache kuliko Tanzania?
Nasema hayo kwasababu kibiashara au kiteknolojia inaonyesha Kenya inapata miradi mingi na mikubwa zaidi kuliko Tanzania kwa kigezo cha lugha...
Na bado hawa maafisa wetu hoja zao ni kwamba wanasafiri kwenda kujifunza jinsi ya kutumia teknolojia.
Accountability ni tatizo kubwa, jamaa wanaweza kupiga trip 50 lakini kwasababu inakuwa vigumu kufanya quantification basi huwezi kuwashinda kwa maneno.
Muhimu ni kuwa private sector wanaviona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.