Recent content by kimicro mnishi

  1. K

    Msaada nimekua na hasira sana ni stress tu au kuna kingine?

    Aisee basi watu wa mbeya wasingekua na hasira kabisa
  2. K

    Msaada nimekua na hasira sana ni stress tu au kuna kingine?

    Haha mkuu umenivunja mbavu sana aisee ubarikiwe
  3. K

    Msaada nimekua na hasira sana ni stress tu au kuna kingine?

    Nashukuru leo nimeshirikiana tatizo langu na watu wenye maarifa wamenipa picha mpya kabisa nikiri imenijenga kifikra kuliko ilivyokua jana na maoni yao nimeanza kuyafanyia kazi leo leo
  4. K

    Msaada nimekua na hasira sana ni stress tu au kuna kingine?

    Nakushukuru sana mkuu @enlightnment kwa mawazo yako kweli jf ni kisima cha hekima
  5. K

    Msaada nimekua na hasira sana ni stress tu au kuna kingine?

    Afadhali nimekutana na mtu ambae anaelewa hali niliyo nayo
  6. K

    This is how my life is going on! Nani mwingine anaishi kama hivi?

    Mwanzo nilikua kama wewe mkuu japo nina marafiki and tunaongea japo siku hizi tunaongea mambo ya muhimu tu, nahisi tatizo langu lilianzia hapa. Siku hizi nmekua na hasira sana
Back
Top Bottom