Kama unafanya kazi kwenye taasisi ambayo haiingizi pesa serikalini kazi yake inategemea kupewa pesa kutoka serikalini kamwe haiwezi lipa wafanyakazi wake mshahara mnono ,mfano angalia
TRA
TPA
TANAPA
DAWASA
Hawa wote wanaiingizia mapato serikali ndio maana mtaani wanavimba kwa kulipwa mishahara...
Kwanza pole kwa misukosuko yote ile uliyo pitia kwa kipindi chote kile ulicho sota gerezani ,umepitia udhalilishaji mkubwa San a katika duru hii ya siasa kwani naamini umepata ukomavu wa kutosha katika harakati zako za kudai demokrasia katika nchi hii ya JMT sasa karibu uraiani
Kazi ni moja tu...
Baada ya spika job ndugai kuamua kuutema ukuu pale bungeni,hii imeashiria kwamba ndio mwisho wa sukuma gang ndani ya bunge na kwenye serikali Kwan sasa wanaenda kupotea kabisa na hii inaenda kuzalisha kundi kubwa lingine litakaloitwa Samia gang kuanzia ndani ya chama
Wana sukuma gang kwass...
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae
Nape Nauye
Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara
Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
Binafsi namshauri Samia kuunda gang yake kwa sasa ili aweze kupata uungwaji mkono katika harakati zake za kuutaka urasi 2025-2030 kama jinsi yeye alivyotamka hadharani,tumeshuhudia katika awamu zilizo pita viongozi wakuu wa nchi na ndiyo wenye viti wa chama waliweza kupata [emoji817] ya uungwaji...
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina
Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.