Recent content by Kimbori

  1. K

    Senegal: Chama tawala cha PASTEF chamfukuza Rais Faye na wanachama wengine 31

    Waafrika, hasa weusi, ndio binadamu walio katika mageuzi kutoka uporiporo kwenda kusyaatabika. Hapo wazungu (Ufaransa) na Urusi zitalaumiwa na wenye uono hafifu. Hiyo no ishara ya party supremacy dhidi ya state. Inaonekana huko kuna dalili ya ustaarabu, ingekuwa huko Mashariki mwa Afrika...
  2. K

    Kesi ya Lissu ina nyaraka mbili za Hukumu! Ipi Sahihi na ipi ni Batili?

    Walioona hizo hukumu watuambie tofauti ya misingi, je yaliyomo yanayofautiana?
  3. K

    Ogopa vijana wenye Ford Ranger na Prado za Dar es Salaam!

    Mungu awatie nguvu wapambanaji wote! Kama mtu anakaa huko porini - Nantumbo, Tanganyika, n.k hauwezi jua msala wa unga kwa jamii.
  4. K

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Usisahau hapo tu Iringa siku za sasa ajali tatu tu za magari zineondoa watu 55+. Hizi ajali, hasa za mwizi hii zina mambo mengi - madereva wanaojua vyema
  5. K

    House of Cards: Je, uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia, upo mbioni kupata anguko kubwa la kihistoria?

    Sioni mwaga kwa uchumi nikiitazama Agri- business sector, hasa mwaka huu soko la mazao mengi limesinyaa - hakuna wateja. Pembejeo - hasa mbolea - zimepanda kiasi kwamba wakulima wengi hawatoweza kuhudumia vyema mashamba msimu ujao, hivyo kupunguza kipato. Pia, benki zilizowakopesha wakulima zipo...
  6. K

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Hao wana propaganda uchwara wa mjini hawajui hayo. Pia, yutakushangaa sana ukijenga hekalu kijijini, ambako unajua wazi wewe wala wanafamilia wako hawataishi
  7. K

    Machafuko ya ukanda wa maziwa makuu ni makosa ya sera za Julius Nyerere

    Na hiyo siku ya kuigawa DRC yaja upesi sana! Miaka ya majuzi karibu wafanikiwe, sasa maandalizi ni kabambe, hasa baada ya Ufaransa kubaniwa na Urusi kule West Africa. Mbaya zaidi taarifa zisizo rasmi ni kuwa mashushu wapo mpaka ngazi za juu huku Tz jeshini na serikalini (imewahi jadiliwa humu)...
  8. K

    Mikopo ya mitandaoni yazidi kuzua balaa. Wakopaji wasimulia visa na changamoto walizozipitia baada ya kukopa!

    Naona hadi Mchina ametia timu humo! Jua limewaka usiku na mchana, naam, kupata kwa mwafrika
  9. K

    The Tundu Lissu Effect: Samia Suluhu aanza kutekeleza matakwa yake kuhusu INEC

    Je kwenye katiba kuna INEC au NEC? Hiyo INEC si ndio ilikata wagonbea wa upinzani nchi nzima 2020, 2925? Shule imethibutika haina msaada kwa mtu mweusi kwa kuwa utamaduni wake bado giza tororo.
  10. K

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Yaani mzigo utoke Afghanistan uje Tz kisha upelekwe China? Sijaelewa hiyo njia ndefu
  11. K

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Tatizo sio usajili wa mtu, bali uhakiki wa ubora wa huduma na gharama. Dunia imebadilika sio zama za kuishi kwa kuamini.
  12. K

    KERO Utaratibu unaofanywa na Credit Info kubadili historia ya mikopo baada ya miaka 6 wakati mtu alimaliza kulipa deni ni kandamizi

    Hizo ni hujuma kwenye uchumi wa nchi. Inapaswa kufunguliwa shtaka la uhujumu uchumi
  13. K

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Kama ni hivyo, fanyeni namna ya kuboresha kazi kwa kuweka udhibiti wa ubora - TBS. Wenzenu makanjanja wanauza majibu na udongo wakidai ni tiba.
  14. K

    Mda kuroga huu unalalaje kizembe

    Ila nyie jamaa mna hekaheka kuliko mainjia wa kichina. Naomba kujua faida kuua za mishe hizo, maana kwa baadhi ya watu usiku ni mapambano na nyie.
Back
Top Bottom