Recent content by kimboka one

  1. K

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Master sajent unashaka na vyeti vyako
  2. K

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Kweli kabisa!! Ila wenye vyeti vya kugushi hawampendi kabisa
  3. K

    Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

    Dr slaa ni nguzo muhimu kwa Taifa letu Mhe Rais on a namna ya kumtumia,Mbowe alimuuza kwa uroho wake wa pesa
  4. K

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Ameshamaliza kazi yake! Mambo ya Rohoni Mungu huwafunulia wachache wengine hubaki wakishangaa tu
  5. K

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Mama kwanza pole kwa majukumu, Nimeona nitumie njia hii kukushauri,Mimi ninampenda sana mumeo waziri wangu mkuu aliyestaafu,mtu aliyekuwa mchapakazi na mwenye maamuzi magumu.Mama ninakushauri ufungue moyo wako uone ukweli huu na kwa kuwa ninaamini unampenda mumeo utachukua hatua ya kutafakari...
  6. K

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Ndugu zangu, Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu. Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa. Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu. Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na...
  7. K

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Siasa za bongo Bwana akiwa CCM fisadi akiwa CHADEMA kamanda mtu yule yule tabia zile zile
  8. K

    Mbatia NCCR Mageuzi CCM B?

    Wanajamvi nikumbusheni eti Yule Mbatia aliyekuwa anatukanwa na Chadema kuwa ni CCM B ni huyu wa ukawa?. Eti kijuweni hapa wanasema ukikosana na mwenyekiti tu unaitwa CCM B na ukikataa ama deni la mwenyekiti au maagizo yake wewe ni msaliti. Mimi sijaelewa mjada huu hapa kijuweni eti kumbe ili...
  9. K

    Chadema iringa kuvuruga mkutano wa act-wazalendo leo.

    CDM wanatumia nguvu kubwa kudhibiti ACT na CCM itakatiza hapo kwenda magogoni
  10. K

    Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Angekuwa wa CCM mngetukana sana
  11. K

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM,nimeona nikushauri maana ninajua jukwaa hili ni rahisi kwako kupata ujumbe wangu. Umekuwa na utamaduni wa kuwasema vibaya wanaotangaza nia ya kugombea urais au wanaonesha nia kupitia chama chako. tabia hii itakugarimu wewe na chama maana inawezekana...
  12. K

    Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Tuwekeeni katiba yenu kwanza
  13. K

    Katika hili Dr. Slaa amedhihirisha Tundu Lissu alikurupuka na kuna mgongano ndani ya CHADEMA

    Lisu ni Kiazi tena cha kuwasha anafyatuka tu kama chafya!
  14. K

    ACT-Tanzania kufanya Mkutano Mkubwa Tegeta Jumapili; Zitto Kupewa kadi

    Zitto chapa kazi usiangaike na hawa waliotuma mwa mabepari
Back
Top Bottom