Recent content by Kilo mbili

  1. Kilo mbili

    Nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande

    Habari wana jamvi Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara
  2. Kilo mbili

    Kwanini mchawi haibi pesa?

    Ngoja waje
  3. Kilo mbili

    Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  4. Kilo mbili

    Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

    Full time Yanga 0-0 Mc Algier Benjamini mkapa stadium
  5. Kilo mbili

    Ni members gani huwapendi humu JF?

    Mimi nampenda realMamy na Joanah
  6. Kilo mbili

    Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Mleta maada pia anapenda makalio makubwa na meusi
  7. Kilo mbili

    Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

    Kwa mlioko daslama mtuambie "mbususu" ni kitu gani sisi ambao hatujawahi kufika huko
  8. Kilo mbili

    Nimefanikiwa kupata mil 15 naomba ushauri maana hii ndo risasi yangu ya mwisho katika bunduki

    Tafuta odd tatu za uhakika weka mzigo wote then subili dakika 90
Back
Top Bottom