Habari ndugu wana jamii,hoja yangu leo ni kuhusu ndugu zetu wa usalama nikimanisha polisi,nimekua nikiona kwenye vyombo vya habari mara kwa mara kuhusu ndugu zetu hawa hasa wa kanda maalum ya dar es salaam kukamata wahalifu na silaha,sasa hoja yangu nikuwa kwanini hawaja polisi wanaposema...
Kwakeli Gembe mkuu una point kuna mashimo pale barabara ya umoja wa mataifa kwenye kona ya kuelekea hospitali ya taifa usipime,kwanza kero kwa foleni hata huyo mgonjwa anayewahishwa anaweza asifike salama either akaongezea magonjwa au kupoteza uhai,pili foleni yake pale ni usumbufu pia,sasa...
Wadau JF hebu pitia habari hii toka bbc,je sisi kama watanzania tunafikiria nini au unapata picture gani..je hao wasio watanzania wanapata picture gani?!
Mana mtu anaona bora aende Somalia kwenye hatari zaidi kuliko kukaa Tz!!! yani hakuna amani hapa kwetu ama!!!!???
Zanzibaris seek safety...
Kama walivo tangulia wenzangu,swala kwanza jiji liwe safi mtu unashangaa jiji utafikiri viongzi hawaishi humu bwana!!!
Kitu kingine nafikiri naye avue joho moja wapo kati ya ubunge na ukuu wa mkoa mana wakati mwingine utakuta yuko jimboni kwake sasa atashika mangapi?
hhaaahah namkumbuka yule, ebwana tena umenikumbasha akina galopa mchizi alikua ana buti kubwa kushinda mwili wake kudadadeki makongoro tulikua na machizi kweli!!!
Mnakumbuka na debates lakini?
Mpe pole sana kwanza, pili hajakosea kitu ni haki yake kukataa...sasa basi kwakua sheria zetu hazifuatwi alikua aende kumshitaki tu ili achukuliwe hatua hakuna sheria inayo mruhusu yeye kumpiga kwanza hata hawajaona sio? hata kama anampenda bora uwe huru ama mfungwa wa kula kichapo? i hope ni...
ule mgomo nafikiri ulitia adabu sana pale nami nilikua olevel by then...umenikumbusha akina mkwanga aise jamaa kilimo kimemkaa utafikiri nini enzi zile somo la agriculture hasa bwana!!! kulikuaga na mwalimu wa kike alikua anakaa upande wa pili wa barabara karibu na mabanda ya kuku mama naye...
yah kajiungeni nimekumbuka sasa, ila na usafiri wa kwenda kingi nao ulikua umepitwa na wakati duh zile chai maharage noma na lile vumbi pale kinyanyiko!!!
Dah kudrop nako kulikuaga noma,mzee unakula pori mpaka njia panda bwana!!!! mpango ule kuomba ruhusa eti mpaka upewe kikaratasi shule nyingine bwana na mipangalio yakizushi sasa mwalimu wa zamu atakuringia weekitu chenyewe kikaratasi, watu kibao wanasubiria kwenye dirisha!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.