Recent content by Kilaracha

  1. K

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Nakubaliana kabisa huyu alikosa mapenzi ya wazazi. Wazazi wote walishindwa kusimamia nafasi zao kwa mtoto wao. Pumzika kwa Amani Lemutuz. Leo ndo nimesoma story yako hii,hakika hata kama ni upande mmoja kama wengi wanavyodai,bado penye shida panaonekana kwa matokea ya tabia ya watoto kwa baba yao.
  2. K

    Uchumi wa Frame Tanzania

    Halafu utashangaa hicho ni chanzo cha mapato cha watu wachache humo JW,ukienda utakuta hata mtririko wa kuyaacknowledge na matumizi ya hayo mapato haupo ama unajulikana kwa wachache.
  3. K

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    May his soul rest well. Amenifanya mpaka nimejoin officially JF,siku zote nilikuwa naingia km guest. Mungu awawezeshe watoto wasimamie kile baba yao alikiishi. UPENDO WA KWELI.
Back
Top Bottom