Recent content by Kila Mbongo

  1. Kila Mbongo

    Kuibuka kwa 'Babu wa Loliondo' wakati wa Sakata la DOWANS....

    Haukuwa na access ya magazeti tu au ulikuwa mdogo ila picha ilisambaa Sana
  2. Kila Mbongo

    Ukizeeka unataka kuwa nani?

    Nataka kuwa mzee wa mjini yaani....nahakikisha uzeeni nakuwa na mishe mishe kama Koffi Olomide ila cha msingi niwe na hela tu za kutimiza mahitaji yangu sio kuomba omba ndugu.
  3. Kila Mbongo

    French learning thread

    Wapi naweza kujifunza Kifaransa kwa Dar tofauti na Alliance Francais?
  4. Kila Mbongo

    Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

    "Nani kama mama"Yaani kumuona mama ni Bora kuliko baba ni ufala wa hali ya juu mnooo!
  5. Kila Mbongo

    Japani ndio nchi pekee wazee wanapenda kuwa nzengo kuliko afrika wawe kama watawala

    Kwa hiyo una uhakika ujumbe wako umeeleweka kabisa yaani!
  6. Kila Mbongo

    Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Tulipata taarifa kuwa alikamatwa sehemu tu na polisi na akaenda kuuwawa ...wanasema polisi huwa wanafanya hivi pale unapokuwa mhalifu sugu ingawa wanakosa ushahidi wa kukupeleka mahakamani.
  7. Kila Mbongo

    Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Tuliwahi kuishi na jamaa mitaa ya Mwananyamala Komakoma miaka ya 2000's.Jamaa alikuwa mpole sana kumbe jambazi mkubwa sana na alikuja kuuawa baada ya kukamatwa na polisi.
  8. Kila Mbongo

    Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Aisee mbona mambo ni mazito sana!
  9. Kila Mbongo

    UTT Amis mnafeli sana na online services zenu.

    Yaani hao ukiwapigia simu ndio utakesha kupokelewa!
  10. Kila Mbongo

    Wakuu hawa FIC ni mchongo au ni Ponzi (utafiti wangu mdogo)

    Kuna nini mkuu?Naomba utoe maelezo zaidi.
Back
Top Bottom