Mkuu inawezekana wewe pia ni mwalimu wa historia kama siyo wa college,University ama hata secondary msingi sidhani.
Ni kweli unahoja nzuri, lakini nimejaribu kufuatilia nimeona kama watu wana-deal na PRESENT, wewe unaleta historia-PAST, that means unataka kuturudisha enzi za "RUKSA" 1985-1995...
Mkuu unaonkana ni good artist maana hii story ukiisoma kwa makini inaonkana kama kuna picha ya tukio linalokuja mbl ya story yako....songa mbele baba tunga kitabu....inapobidi hata kurudia jina la mtu rudia ilimradi upat maana ya ujumbe unaotaka kufikisha au neon kukaa vizuri Big up.....Nyamahodzo
Mkuu mimi napita tu...sasa kama alijiteka mwenyewe na anashtakiwa kwa kosa la kudanganya umma kuwa alitekwa kumbe alikuwa kwa mpenz wake Iringa. Kwa nini wakili wa serikali amkatalie dhamana kwa hoja ya watekaji bado wako huko nje wanamsubiria hivyo asipewe dhamana kwa usalama wake...?
Kama...
Habari wana JF,
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Nadhani wengi wenu mmeniona kimya sana
Lakini kwa kuwa hili jambo ni lakijamii sio lakisiasa nimeona nitoe mawazo yangu.lisije likafika huko kwenye vyama. Ieleweke ya kuwa haya ni mawazo yangu binafsi sio lazima yafanyiwe kazi. Ingawaje...
Kwahiyo Mkuu Bwana Kalemela kwako wewe mtoa mada hakutendea haki wafanya biashara wasiotaka kufanyia service magari yao, wanaendelea kujiingizia kipato huku wakisababisha vifo,ulemavu, na majuruhi wengi. Na wanatumia mbinu za chafu za kijanja kuendelea ku-operate, bila kuchukuliwa hatua dhidi...
Tumekusoma Nabii uliyetumwa na Mungu kwa watanzania, kwa maneno haya uliyosema Tundu ningependa kujua huu uwezo ulio nao ni wa "inborn" au ni wakusomea? hivi ni kwanini wewe huna PhD wala sio Prof. lakini uwezo wako tupa mbali hao maprof.na madocta?
Kuna siku uliongea kitu kizito bungeni...
kan
1.Kanumba alipelekwa police akiwa ameshakufa mkuu daktari alithibitisha kifo chake palepale chumbani alipomkuta ameanguka chini,
2.Suala la mtu mnene ama mzito kuangushwa na mtu mwembamba ama mdogo linategemea huyo mzito amesimamaje? na amesimamia wapi? na je victim alikuwa na full...
Asante kwa maelekezo yako mkuu lakini haitoshi.......tukio zito sana, may be its according to jurisdiction za judge kwa manslaughter ni life imprisonment
Mzee wa varangati watanzania huwa hawapatwi na maumivu mpaka issue imguse yeye mwenyewe. Eti Kanumba kauwawa na freemason, kwanini wasimuue jana yake? kwanini wamuue mpaka lulu aingie ndani amkute mwenzie na pensi lake la draft akipata kinywaji ndiyo wamuue?
Lulu alikubali mahakamani na...
Nikweli kiongozi, nderingosha, hapo naipongeza sana mahakama imetenda haki, na inaonekana hao majaji na msajili hawakuyumbishwa na mamlaka zingine ndiyo maana ametoa rulling yenye mashiko, unajua ndg kesi nyingine huna haja ya kuwa mwanasheria, kama jamii ukiiona tu unajua judge akitoa hukumu...
ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha............!!!!! humu jf kuna raha sana eti ngoja Dr.Luis aje duh...leo nimecheka kutoka moyoni mpaka machozi. Kwa yanayonikabili sikutegemea kama mwaka huu ungemalizika ningepata fursa ya kucheka kwa dhati namna hii.....duh....na hii ni kwasababu nilikuwa serious...
Do you think captain, co pilot & the hostess will be safe to the CEO? . Kama watamuacha huyo waziri, ambaye hajatajwa akimwambia Mhe:Mbarawa naye akimtikisa kidogo CEO. CEO atawafire hao wafanya kazi. Kwahiyo msiwalalumu wote wanaogopa. CEO ni muoga anaogopa mawaziri.
Kazi yenyewe aliyonayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.