Recent content by Kijakazi Chizi

  1. K

    Kila nikimshauri mchumba wangu anunue kiwanja anasema kipo mbali

    Wakuu habari, Mwenzenu niombeeni tu nahisi haya mambo ya mahusiano kama siyo riziki kwangu, ni mwaka jana tu nilipigwa na tukio, nimempata mwingine naye anachangamoto zake. Nimehama hadi Mkoa ila ninaopata ndo hivo. Nina mchumba (boyfriend) wangu ambaye ana kazi nzuri na anapata posho za...
  2. K

    Alipost chats kuhusu ujauzito wangu kwenye group la familia, huu sio udhalilishaji?

    Ila mimi naye nimeshapitia mengi jamani😭 Wakati nipo chuo, sitasahau siku nilipomtaarifu dada yangu kwamba nina ujauzito. Wiki mbili baadaye tukagombana. Kama njia ya kunikomesha, akachukua zile chats kwenye group la familia ambako mama na baba wote wamo. Nilifuta WhatsApp hapo hapo. Sikuwai...
  3. K

    Wanaume wametoa ya moyoni, kina nani wanayumba zaidi kwenye mahusiano?

    Habari wakuu, Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF. Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano. Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
  4. K

    Ni mwaka gani ulihisi mapenzi yangekuua?

    Habari za muda wakuu, Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF:D Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, itoshe kusema huu mwaka sitausahau Kwa sasa nimemove on niko vizuri na...
  5. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Alionekana kutokujali kwani aliendelea na kundi lingine la urafiki ila nilikua nikipata maneno ya chini chini yanayoashiria wivu kutoka kwake
  6. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Asante sana dear, Najipa moyo sana maana kuna siku niliwahi kuandika pia mahusiano yangu yaliyodumu miaka 3 na baadaye akaniacha, baadaye kuna bestie yake alinambia kumbe alikuwa anaona aibu kuwa na mimi kisa muonekano wangu wa sura
  7. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Asante sana kwa ushauri, tayari nimeshahitimu chuo miaka mingi sana ila nime-share as an experience ambayo pia inawezekana wengine wameipitia au ndo wanaipitia bila kujua ni red-flag na and pia kujifunza kujiweka kipaumbele
  8. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Asante sana, nimemove on muda sana na leo nimeshare kama uelewa tu kwamba tuwe makini katika kuchagua watu wa kuwa nao karibu na pia unapoona red-flag jitathmini kama inafaa kwako kuimudu
  9. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    kuna kitu kinaitwa tone na pitch kwenye matamshi, ukivijua ni rahisi sana kutambua hii imetumika kwa dhamira gani
  10. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Issue ni kauli inatoka kwa mtu ambaye unamuaminia ambaye hukutegemea kabisa kukudhalilisha mbele za watu
  11. K

    Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Wanasema urafiki wa kweli hujengwa kwenye misingi ya kuaminiana, kusaidiana kwenye shida na kulindana dhidi ya jambo lolote linaloumiza. Lakini maisha yangu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni yalikuja kunivuruga kabisa, na kunifanya nianze kujihoji: Hivi kweli nahitaji watu maishani...
Back
Top Bottom