Recent content by kihongwe11

  1. kihongwe11

    Natafuta Majagi ya Brenda

    Habari Natafuta majagi ya brenda kama haya kwenye picha ambayo anayo tutafutane nitanunua maana ya kwangu yamepasuka naambatanisha na mashine zenyewe ili iwe rahisi kufahamu.
  2. kihongwe11

    Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  3. kihongwe11

    Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Mimi ninashida ya kurepair Windows 10 imekataa kabisa kuwaka PC yangu inadai repai
Back
Top Bottom