Recent content by kigosi D

  1. kigosi D

    Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

    Umemaliza kila kitu 🙌🙌🙌🙌
  2. kigosi D

    Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

    Kawa madarakani kwa faida au analeta madeni na kuweka pesa nje zinazofaidisha mabeberu?
  3. kigosi D

    Vashko sande amuoa mama mkwe wake

    🤣🤣🤣🤣
  4. kigosi D

    Bodaboda na wake za watu

    Uwezo wa kufikiri kama kuku ndio unaowaponza na tamaa za mwili kushindwa kuzizuia, tabia ya kupenda mtelezo wajiachie na mkono anaingia mazima jeuri huongezeka ndani ya nyumba na magonjwa kuyakaribisha ndani ya nyumba
  5. kigosi D

    Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini?

    Walikupa majibu gani baada ya kugoogle
  6. kigosi D

    Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini?

    Kwa maana ya kila mtu na kundi lake pasipo mfanano sivyo?
  7. kigosi D

    Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini?

    Baba na mwanae kutokufanana kundi la damu inasababishwa na nini? Na ni sahihi kwa watu hawa kutokufanana makundi yao?
  8. kigosi D

    Mke wa kaka ananitia majaribuni

    Hiyo sasa mbaya kuliko mkuu
Back
Top Bottom