Lowassa, Karamage, Rostam na usanii wa Kifisadi,
Tumeambiwa kwamba katika kikao cha CCM kilichokaa jana (15/06/2008) Dodoma, Bw. Lowassa alijitete kwamba; alitaka kuufuta mkataba wa Richmond mara mbili akakataliwa!! Haya ni madai ya kinafiki kabisa ya hadithi ya Sungura na Zabibu; Mbichi...