Wewe utaandamana? Mbona leo umejificha uvunguni? Watu waongo na waoga kama nyinyi mna mchango finyu kwenye maendeleo ya nchi. Kula dagaa lako huko uvunguni.
Ni Serikali ya kipumbavu ndio itapuuza tishio la kuhatarisha amani na kuharibu mali za wananchi wake. Fundisho la 29/10 linatosha kwa Serikali kuweka ulinzi madhubuti. Laiti kama wasingepuuza vitisho vya Okt. 29, yasingetokea tuliyoyaona.
Navipingeza vyombo vyetu vya ulinzi kwa kuwa IMARA...
Ndio mjue tuna vilaza huko Bungeni. Kama vitabu ni jambo la kijinga na kipuuzi huko Masasi, utashangaa vipi mkoa wa Mtwara kuwa nyuma kielimu? Na DED Jichabu anabariki. Poleni Masasi, maana Mbunge na DED lao moja.
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
Tatizo la Mwambe ni kujiganya mjuaji wa kila kitu. Na kufanya ugomvi wa visasi. Sasa Mbunge unaagizaje walimu wahamishwe kisa hawakukuunga mkono kwwnye kura za maoni. Anataka Masasi yote tumpende? Hata Yesu hakupendwa na watu wote. Sembuse yeye. Akija huyo jamaa atafurahisha wengi. Ila Tatizo...
Kama ni kweli Masasi itang’ara. Wana Masasi wamepigika sana kwa huyu Dogo. Ugomvi kila kona, majungu ndio maisha yao. Jamaa anapigia figisu hadi walimu wa msingi. Eeh Mungu tuletee huyu Kiongozi, amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Mtwara kukumbuka alikotoka. Ana mapenzi ya dhati na ndugu zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.