Kama kichwa kinavyosoma hapo, kuna nafasi za udereva kwa wahitaji nchini Saudia Aabia, gari ndogo na malori,
Kwanza uwe na leseni ya hapa nchini, passport kubwa, na kuna malipo unalipia,
Mkataba miaka 2, free insurance +chakula+ kulala
Mshahara ni malori laki 7 na nusu + trip allowance...