Mugalu ni forward ambaye anahitaji atafuniwe yeye amaze tu. Ubora wake unaonekana kama ana viungo wazuri na mawinga wa kumlisha. Akipoteza mpira hakabi, hana kasi kabisa. Mechi zenye presha hatambi kabisa, ligi ya Mabingwa iliyopita kumbukumbu zangu zinaniambia kwamba alifunga mechi dhidi ya As...
Tatizo sio kufungwa, hakuna timu duniani isiyofungwa. Ila tunachoangalia ubora wa wachezaji wa Simba kwa sasa, ukilinganisha na vilabu vingine, unaona kabisa kwa Msimu huu, kuna kazi kubwa ya Kufanya.
Kuuza wachezaji hakukataliwi , Ila uza chuma nunua chuma. Kama ni biashara ya 2b basi nunua wa 1.5 B sio unanunua wachezaji wa thamani za milioni 60 na 70 ukategemea utatoboa, hiyo ni ngumu sana. Ukitaka Makombe wekeza kwenye wachezaji wenye ubora. Sio wavulana wadogo.
Timu ya Simba ilitamba kwenye soka la bongo kwa takribani Miaka minne mfululizo, ikijengwa na wachezaji wenye uwezo Mkubwa na wenye historia ya soka la Afrika.
Baada ya Mo, kuanza kuisaidia Simba msimu wa 2017 - 2018. Simba ilifanya usajili mkubwa wa kuchukua wachezaji wa Azam na baadhi ya...
Shida sio kuwauza chama na Luiz, umewareplace na wachezaji gani ??!. Unasajili Average player ambao hata wewe umewajua baada ya Kutua Simba, hawana takwimu za kuridhisha kwenye Ligi ya Mabingwa Africa, unawanadi kwa kigezo cha youtube na kufanya vizuri kwenye Ligi zao za ndani. Kazi tunayo mwaka...
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b.
Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji Mafanikio ya Haraka kwa kusajili wachezaji wenye majina na uwezo mkubwa uwanjani.
Kwa kipindi...
Tukio la kusikitisha la mauaji ya Mkulima limetokea Kijiji cha Lukenge Kata ya Magindu tarehe 27/03/2019 , mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kibaha ndugu Asumpta Mshana , wakati alipoenda kujaribu kusuluhisha mgogoro wa Wakulima na Wafugaji kwenye kijiji hicho .
Chanzo cha tukio hilo ni Jamii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.