Barabosa mbona pointi zako kali sana ? CDMA hawana lolote watabaki kusema CCM imechoka hawana sera hawana solution. Ndio maana wanalilia live tv wamebaki kupiga debe bungeni. Mimi mwenyewe nilikuwa mfuasi nashkuru mungu Lowassa hakupita tungekuwa tumeruka majivu tukakanyaga moto
Ujambazi mkubwa hua unafanywa na wabunge. Budget na matumizi mabaya ya pesa za serikali yote yanapitishwa na bunge wakati umefika tuwashughulikie kama viongozi wengine
Great Speech
Swali ni CHADEMA itaiangusha vipi CCM kama mnawafukuza watu kwenye chama ? Wenzio wanahangaika kujumuisha watu na kuunda coalition za vyama "UMOJA NI NGUVU" nyinyi mnafukuza. Hizo kura zitatokea wapi ?
When you suppress freedom of press lock up journalists and shutdown papers that are critical of your govt your a tyrant. When you appoint ministers who are known thieves to your govt your a tyrant. When you allow same ministers to steal from citizens tax payer money with no consequences your a...
Maji AICC Ardhi waziri mkuu kote kafukuzwa kwa ajili ya uwizi. Uraisi apewe huko huko Monduli anakohonga wa masai na Big G. Sijapata kuona watu mazezeta kama wabongo juzi atuibie na dowans leo mnampigia debe la uraisi. Na wanao mpigia debe ni walala hoi wala sio matajiri wenzake
Bora tuishi kwenye giza kuliko kudili na uhanithi wao. Wapeleke huko Burundi na ------- wote wliohusika tuwahamishie Burundi ---- ya mama zao na utashangaa Burundi watachajiwa bei ndogo kuliko sisi.
James Morrissey is a researcher on extractive industries and governance at Oxfam America.
I was in Tanzania last month as what may turn out to be a major corruption scandal in the country's history was coming to light. Contained in these events and international headlines are lessons about the...
Wale Wale YONA YONA YONA YONA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!! MTFCKER. Na Mkapa si yuko hai atueleze kwanini aliuza NBC na mashirika chungu nzima yaliyokuwa hayana kasoro. Kama ni ufisadi ulizaliwa na Mkapa naye awashiwe moto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.