Recent content by KICHAKA

  1. KICHAKA

    Exim bank Mlimani city: Binti anayeshughulikia Money Gram ana dharau

    Nawasilisha jukwaani hapa kuonesha kukerwa na binti huyu asiyejua taratibu mwenye dharau na majibu yasiyo na tija mithili ya majizi ya escrow! Ili benki mfanye vema wahudumu aina hii wasiosikiliza wateja kwa umakini na kuonesha kujali wateja. Ni bora mkawapa likizo maana sioni sababu ya kuweka...
  2. KICHAKA

    Wazee wa Mara wamtaka JK amteue kijana wa Marehemu Tuppa awe mkuu wa mkoa wao

    Nimeipata hii habari hapa Kilosa baada ya Mazishi ya Late RC ambapo viongozi kadhaa wa CCM walikuwa wakizungumzia nia yao ya kumuona Rais ili wamuombe amteue mtoto wa Marehemu Tuppa awe mkuu wa mkoa wa Mara katika kipindi hiki hadi mwakani
  3. KICHAKA

    Komandoo Dokta Salmin Amour anahutubia sasa

    Kwa mlioko Zanzibar nimeambiwa kuwa mzee huyu anahutubia sasa naomba tusaidienei kupata full info maana ni siku nhyingi mzee huyu amekuwa kimya. Sijui nini kimemfanya leo aamue kupanda jukwaani
  4. KICHAKA

    Wananchi wazishukia kauli za kitoto za Membe

    Kupitia ITV jana kipima Joto wananchi mbalimbali wameshukia kauli za kitoto za Membe Joka la Mdimu zilizokuwa zikijifanya kuwa na nguvu ya Amri Jeshi Mkuu za kutangaza kuwa jeshi letu litaenda kupigana Kongo. Hii ni mara ya pili katika wiki moja ambapo kauli za Joka la Mdimu zinapingwa na...
  5. KICHAKA

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    Katika hali ambayo ilijulikana na ambayo inaelezwa kukolezwa kwa kutokuwepo jawabu la kujivua gamba, ni wazi sasa Sitta na kundi lake katika kuwania urais mwaka 2015 wameanza harakati za kujiweka sawa na wana CDM ambao wanaamini wataweza kuwapigia upatu kujiunga na chakma hicho mwaka 2015 kama...
  6. KICHAKA

    Uyoga wa magazeti kuelekea 2015

    Another work of Mbopo? Usichikila kinakukera nini?
  7. KICHAKA

    CCM ingemtuma Rizwan kuiwakilisha kwenye mdahalo

    Aisee wangemleta huyu kilaza ingekuwa safi sana! kuna umuhimu CDM tuendelee kuwasifu hawa ili wafanye makosa kama haya. Huyu dogo yaani angeingia pale angetaka msafara wa kumpeleka jukwaani na mtu wa kumshikia Mike, kaazi ingeanzia hapo maana angeishia kusema CCM oyee wakati hata katiba hakuwahi...
  8. KICHAKA

    Mheshimiwa bernard k. Membe, tunaomba balozi zote za marekani katika bara letu la afrika zifungwe

    kwani hujui hapa ukishabikia siasa fulani unakuwa Senior member na hiyo primiamu? Mimi najiondokea hamna kitu hapa aje Mbopo aka mwambene maana ndiye mwenye usongo na kila jambo la Membe hata kama halina msingi....Mboooopo upoooo?
  9. KICHAKA

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wasusa ziara ya makamu wa rais

    Wivu na kutotambua unazungumza nini? Tukikuomba CV yako hapa unaweza kumuomba MOD akupe BAN ya nguvu kwa kukimbia aibu
  10. KICHAKA

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wasusa ziara ya makamu wa rais

    Mkuu nimekubali ulivyowachambua hapo
  11. KICHAKA

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wasusa ziara ya makamu wa rais

    Akizunguka Slaa na maandamano ya CDM safi ila viongozi ambao wamechaguliwa hata kama sikuwapa kura nongwa? watajuaje kero zetu na watatoaje majibu ya kama kero hizo zimefanyiwa kazi?
  12. KICHAKA

    Baada ya JK, Rizwan naye alalama kung'olewa UVCCM

    Ndio safari yetu inaanza kwenda Dodoma kumaliza kazi kisha sasa aendelee kuropokaropoka! Huyu mtoto mjinga sana hafai kuharibu jumuiya kwa sababu ya baba yake. Tuliapa kuilinda na sasa ni wakati wa kuisafisha. Wajumbe wa Baraza wenzangu haya shime wote tukamalize kazi yetu mapeeema Dom kisha...
  13. KICHAKA

    Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

    Mod Kichaaa kama huyu asiye na radhi usipompa BAN tutaanzisha maandamano humu na kugoma kuingia. Nategemea nisimkute hapa baada ya nusu saa
  14. KICHAKA

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Hawa watoto hawana radhi ya wazee wao yaani wanakashifu hadi viongozi wa dini na viongozi wengine wastaafu. Ningekuwa kiongozi mkuu wa CCM nisha BAN hawa miezi 18 ama zile ban zinaishiaga tu kwa akina Nyimbo? Unajua hakuna kosa kubw akama hili la vijana kukosa na kutothamini radhi ya wazee...
  15. KICHAKA

    Ufisadi mkubwa Mambo ya Nje: Mradi wa ujenzi Nairobi wasimama

    Eeeeeeeh hapa ndio nilikuwa nataka. Mwambene rudi tena ufafanue hapa mkuu Double0 7 kaweka nondo mpya! Mkuu Double nimekupa senksi hapo
Back
Top Bottom