Recent content by Kibukila

  1. K

    KERO Router ya Voda imeandikwa 5G, panel yake inasoma 4G

    Hiyo device ni 4G tu si unaona imeandikwa LTE Cat4
  2. K

    Je dekoda ya antena kampun ya azama itafanya kaz nikiweka dishi?

    Haitafanya kazi maana dekoda ya antenna inatumia mfumo tofauti na dekoda ya dish. Inabidi ununue dekoda ya dish ufunge na dish lake kuendelea kupata huduma.
  3. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wasiliana na TTCL ukifungiwa fiber na hii inakuwepo.
  4. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Aisee GB 200 per day.Hivi haina data caps unaweza tumia kiasi chochote cha GB kwa siku?
  5. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni kweli haiongezi speed ys ISP lakini mfano kifurushi cha laki moja unapata 150mbps sasa kama una band moja ya 2.4Ghz utaishia kupata 80mbps haiwezi kuvuka hapo ndo umuhimu wa 5ghz unapokuwepo.
  6. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii ni kweli pia ukiwezesha band ya 5Ghz unapata speed nzuri zaidi hasa wenye kifurushi cha kuanzia laki moja.
  7. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii ni kwa sababu watumiaji wengi hawawezi kufanya configuration za router wakiweka wazi unaweza kuta mtu anabadili settings na huduma inasitishwa halafu inakuwa ni gharama kuweza kumtafuta fundi airekebishe.
  8. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wasiliana nao wakubadilishie uende kwenye vifurushi vipya utapata 60Mbps kwa 55k
  9. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni kweli huduma ya E-sim waliisitisha kwa muda watatujulisha baadae ikianza tena.
  10. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    30 ila zote unashare kwa line mbili na dak 700 unawekewa.
  11. K

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nimebadilisha post paid kwenda T-Fiber Trible Hub kwa kweli speed yake inaridhisha sana 150Mbps kwa laki 1.
  12. K

    Sipati 5G ya Halotel kwenye Simu yangu kwenu ikoje?

    Hapa Kasulu 5G inapanda vizuri tatizo haiko stable kuna muda inarudi 4G.Wameweka kwenye minara michache sana.
  13. K

    Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Asante sana mkuu.Nimejaribu kuwasiliana na Samsung lakini hawanipi majibu.Ni simu original kabisa sikununua za mtumba.
Back
Top Bottom