Recent content by kibobori mahoro

  1. K

    JE WAJUA?.....MENDE

    Adam na Eva ndio waasisi wa "kifo cha mende".
  2. K

    DOKEZO Responded Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Haya ndiyo mambo JPM aliyoyapinga ila wana mtandao wakaondoka nae asubuhi na mapema. RIP
  3. K

    Kukulana mchana vs kukulana usiku

    Mchana kila kitu kinaonekana, chura wa mchana sio sawa na chura wa usiku. Mchana ni chura na uhalisia wake.
  4. K

    Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Kama kweli hiyo dini ni ya Mungu, wangemuachia Mungu atende kazi yake, kumbe ni ya binadamu.
  5. K

    si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Tz vipi? Au ni nchi ya "kujichukulia chako mapema?"
  6. K

    Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

    Ameona una kismart, sasa kaa mkao wa kuibiwa.
  7. K

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Kama JPM angeshiriki basi Lissu angekuwa majivu. Angetoweka kabisa katika uso wa dunia.
  8. K

    GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Mkurugenzi akiwaambia waalimu wote wahudhurie wataacha kumheshimu bosi wao?
  9. K

    Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Wakuu wa hivyo vyombo wanateuliwa na raisi. Itabidi umheshimu bosi wako. Swali limejibiwa.
  10. K

    Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Kwani makanisa ya nje ya nchi nayo yamefungwa?
Back
Top Bottom