Recent content by khalta

  1. khalta

    Msaada;Sioni ute ute unaotoka kabla ya Ovulation

    Ooh shukran sana mpendwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. khalta

    Msaada;Sioni ute ute unaotoka kabla ya Ovulation

    Sawa Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. khalta

    Msaada;Sioni ute ute unaotoka kabla ya Ovulation

    Habar zenu Naomba msaada Sioni ule ute ambao unatoka siku ya hatar hvy nashindwa kujua ni siku gani ambayo ni sawa kwangu kwa ajili ya kutafuta mtoto Na ni vyakula vipi naweza kutumia ili kusaidia kutengeneza huo ute kutoka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. khalta

    Mume wangu mtarajiwa nitakuruhusu uongeze wake kadri uwezavyo

    Habari ya humu, Jamani mbona mimi sioni kama ni jambo la kushangaza sana au la kuumiza sana nafsi kwa mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama anauwezo wa kumhudumia vizuri (6x6) hata kwa mavazi na chakula muache jamaa muache kwanza unapata thawabu nyingi sana pia; -Unapata muda mwingi wa...
  5. khalta

    Jamani Tanga kwa harusi hapana

    Hahaha Sawa Mkuu
  6. khalta

    Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    [emoji23][emoji23][emoji23]aisee
  7. khalta

    Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    Yah ni vizur zaid ila kama lengo ni kazi bac hakuna kitakacho haribika hata akipata mwenye mke
  8. khalta

    Nafasi ya Kazi

    Ooooh kumbe
  9. khalta

    Msichana anatafuta nafasi ya kazi za ndani

    Ndio anilifanikiwa kupata watu watatu hvy kila wiki ana sehem tatu za kufanya usaf Ila challenge za kumwaga ma bachelor wanashida kidoogo
  10. khalta

    Nafasi ya Kazi

    Siweeeeezi kutag ati
  11. khalta

    Nafasi ya Kazi

    Jinsia yoyoete? Tupigie au sms? Tukutafute Kuanzia leo au j3?
Back
Top Bottom