Recent content by khaligraph

  1. khaligraph

    Hii case ya huyu jamaa yangu inasolviwa vipi wakuu?

    😁 mambo ya ndoa ni magum sana. Mwambie afanye uchunguzi bila kumshirikisha wife ake
  2. khaligraph

    Nimekata tamaa kwa madeni

    Unazingua bro, kujiua sio suluhisho la deni. Unadaiwa bei gan?? Kuna namna tunaweza shauri ana saidia
  3. khaligraph

    Kuna brother huku mtaani tangu mwaka 2002 nasikiaga ni mchimba Madini ila hajatoboa kachoka mbaya

    Unamshangaa sio? Huo ni upande ungine wa maisha. Sio kila anaetafuta anapata. With God grace atatoboa oneday
  4. khaligraph

    Unaweza oa mwanamke wa miaka 35?

    Singo maza wa Miaka 35 watoto wawili unategemea asiwe mpambanaji?
  5. khaligraph

    Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Vitamu ni kushare na wenzako Usile peke ako
  6. khaligraph

    Unaogopa nini

    simpo life
  7. khaligraph

    Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Vunga kwanza mzee...wakat wanatafutana ww hukuepo
  8. khaligraph

    Hapa nikimchoma mtu kisu ni kosa?

    Kabia juu, usikubari kushindwa simpo namna hio...sokoni pagumu sana
  9. khaligraph

    Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Hapo nssf ukiwa na connection unachukua mpunga wote. Tafuta inside man muahidi % pesa inatoka.
  10. khaligraph

    Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Kukaa kimya wiki 3 tu ndo kuachana?? Mda mfupi sana huo kufanya maamuzi hayo
Back
Top Bottom