Recent content by kereem benzema

  1. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    Nimecheka hadi kidogo nidondoshe cm yangu😂😂😂😂😂hakika umejua kunifurahia mkurugenzi
  2. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    NINAENDELEA ✍ N.B Nitajitahidi kuandika kadri niwezavyo maana naona kuna baadhi ninawekera na hizo nitaendelea...(tuko na majukumu mengine nje ya jamvi) HATIMAE NIKAPATA CHOMBO KIPYA Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya jamii nilipata kumuona mdada mmoja hivi ni mrembo haswaaa na hakua...
  3. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    Ni kwel kbsa ndug yangu haya mamb yanatatiza sana
  4. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    Ni kweli lakini ilikua bado imekua ni changamoto sana kwangu
  5. K

    Sintosahau nilivyosota miaka miwili bila kukutana kimapenzi na mama mtoto wangu

    NAENDELEA NDUGU ZANGU...✍ Hakika ule usiku ulikua ni usiku wa kumshukuru Mungu kwa kunirejeshea njiwa wangu. Tuliongea mengi na tukafanya kila linawezekana kwa nafasi yake kumuonesha mwezake ni jinsi gani alivyokua umemis moment ya kua wote kitandani. Kesho yake kama kawaida mi nikaenda zangu...
Back
Top Bottom