Recent content by Kelvin John Joseph

  1. Kelvin John Joseph

    Leo tena nimekuja na MAFUNDI APP

    Tuwasiliane johnkelvin0758@gmail.com
  2. Kelvin John Joseph

    Leo tena nimekuja na MAFUNDI APP

    Unamaanisha app kwa ajili ya kusimamia mikopo au vipi?
  3. Kelvin John Joseph

    Leo tena nimekuja na MAFUNDI APP

    Hii imenitoa jasho kidogo lakini iko poa sana, siyo express kama zile zingine, imenichukua almost three months kuidesign na kubuild. Inapokea watumiaji na alhamdulillah mafundi wanaopost kazi zao humo wanapata wateja. Nimekuwa nikiamini kuwa ndoto haiwezekani bila kuweka jitihada, nashukuruni...
  4. Kelvin John Joseph

    KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Ningependa nifahamu kama umeridhika na huduma zetu?
  5. Kelvin John Joseph

    Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Siyo kiaina, ni waziwazi kabisa na ni kwa uhakika na ukweli mtupu.
  6. Kelvin John Joseph

    Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    I'm cool with that, nimesema kwenye post zangu za mwanzo ni hivyo and I've nothing to hide.
  7. Kelvin John Joseph

    KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Kaka hiyo ni app na ni investment, sasa huwezi kuinvest bila kulenga profit. App inafunction free lakini nitakapoiweka playstore itaanza kutengeneza chochote kitu. Kwani mwenzangu shughuli zako zote unatoa msaada tu kwa 100%?
  8. Kelvin John Joseph

    Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Mawasiliano yanaweza kuwepo lakini yasiwe ya wakati huo ambao wewe unahitaji huduma, chumba kilikuwa wazi jana ila leo kimepata mpangaji ila kwa kuwa wewe ulikiona jana ukasema leo utaenda ukikague unafika saiti unakuta mpangaji yumo. Ili kuondoa usumbufu kama huo ndio mimi nikaja na project ya...
  9. Kelvin John Joseph

    KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Ni kweli ni mengi ila nipe baadhi ili niyarekebishe.
  10. Kelvin John Joseph

    KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Ahsante kwa ushauri, taratibu tutaendelea kufanya marekebisho.
  11. Kelvin John Joseph

    Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Kuna kipindi nilikuwa nasoma UDOM, na kama umewahi kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, utakuwa unaelewa vizuri kabisa maana ya kutafuta sehemu ya kuishi. Unaweza ukafika eneo fulani ukiwa na matumaini kwamba leo lazima upate chumba. Unakutana na mtu unamuuliza; "Samahani, huku kuna vyumba vya...
  12. Kelvin John Joseph

    KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Sawa, naondoa ndugu yangu. Kwahiyo nifungue uzi?
Back
Top Bottom