Recent content by Kazenge

  1. K

    Fabrizio Romano azitambulisha jezi mpya za Kimataifa za Yanga. Hakika Yanga ni kubwa sanaaaa

    Jezi ya kimataifa haina logo ya CAF uto ni wajinga sana
  2. K

    Jakaya Kikwete akiwa na Timu ya mpira wa kikapu Dar City nchini Afrika Kusini

    Hiyo timu haishindi tena mechi yoyote,hiyo jamaa akishatembelea timu lazima itolewe kwenye mashindano
  3. K

    TZS 10 million Challenge Kwa Mawakili wa Serikali

    Italiwa kuna kipindi chedema waliandama mpka umoja wa mataifa na walilindwa na polisiccm
  4. K

    Membe na CHADEMA kukosekana kwenye msiba wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa inauma sana

    Nahisi umevaa ped na Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi
  5. K

    Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Makame Mbarawa au profesa yupi
  6. K

    Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

    Na utakuwa umesahau na mradi wa stand ya mabasi inayojengwa Nyamuhongolo mkoani Mwanza imekwama baada ya mkandaeasi kutopewa pesa ya kuendeshea mradi sasa amepunguza asilimia 94% ya vibarua na mafundi pamoja na wafanyakazi wengine kama Technician na operetors kwa hiyo hali ni mbaya jamani...
  7. K

    Huku ni kufilisika kisiasa

    Hayaonekani
  8. K

    Dstv hamjambo?

    Bora hata wengekuwa na local chanel za kueleweka tungekuwa tunalipia tuangalie hata taarifa za habari lakini humu unakuta tbc zbc
  9. K

    Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

    Mkuu wewe jifukize tu haka nikaugonjwa kadogo.
  10. K

    Vazi la taifa: Japo wamependezea, for the sake of patriotism & national unity, je ni busara sare za kitaifa kunasibishwa na sare za chama fulani?

    Mkuu hili nililiona nikajiuliza hivi kama Taifa tumefikia huku alafu nikajijibu mwenyewe kuwa nchi hii watu wana hofu kupita kiasi.
Back
Top Bottom