Ukimzingua atakuzingua. Mlitaka kumuua akawawahi, shida iko wapi hapo?. Nadhani kinachomuumiza moyo Rais ni kuona vijana wadogo wasioifahamu hata hiyo katiba yenyewe ikoje wakifa huku waliowatuma wakiwa hai mitaani. Dhambi hii hajui awafanye nini?
Huna akili ya kuchambua. Katafuta fedha kutatua shida za wananchi, lakini watendaji hawatatui shida ni rais au nani?
https://youtu.be/tiy-sV5DaZc?si=GwmcAPqpcLJPRh_B
Unataka akutie vidole mat*k*ni ndiyo ujue kuwa anaweza? Kazi zake ni hizi hapa, kazi iliyowashinda Marais wanaume. Hii maana yake Samia amekataa kuhongwa na wafanyabiashara wakubwa.
https://youtu.be/w1KI7Rl_Jm0?si=DLu6HjNt7FWMgNfB
Huna akili kabisa. Ona mavitu anayofanya Rais mwanamke mbali na kujenga shule na mabwawa ya umeme na kusambaza maji. Tumezoea marais wanaofokafoka na kujisifu wenyewe.
https://youtu.be/u59Uz92GBsU?si=BxO6o7343ebklnn-
Hujui ulisemalo. Rais ana washauri wengingi sana kwenye kila sekta.
Walitanga uasi hadharani wao wenyeeewe!!. Rais anapokea ushauri kwenye kila maamuzi. Hivi Rais Samia anaweza kuwafundisha na kuwashauri hawa namna ya kuzuia uasi au hawa ndio watamshauri Rais namna ya kupambana na uasi...
Aaah! acha porojo, mbona Singida United ilimshinda? Simba na yanga zinajisimamia zenyewe, kila tajiri anazitamani, hata mo na familia yake wanalifahamu hilo.
usipumbazwe na hilo kaka. Simba na yanga zenyewe tayari ni bidhaa kama kiwanda cha bia au sigara, wanywaji na wavutaji sigara wapo tayari...
Hapo ndipo watakapofelia. Wanasahau ule msemo wa wahenga wa anaekwambia usikombe mboga unataka ushibe. Simba ni ng'ombe wa maziwa wa familia ya Dewji. Jiulize kwanini hawatoki wakati huohuo mo akilalamika anapata hasara kuwa simba.
Ukitaka kujua kwanini familia ya Dewji inaing'ang'ania Simba...
Aden Rage hakukurupuka kusema wanachama na mashabiki wengi Simba ni mbumbumbu. Yaani wameshaleweshwa na ushindi wa 2-1 dhidi ya Yanga. Ushindi uliopatikana kwa mipango mingi sana. Mpingo ya mo kuelekea uchguzi ilikuwa kufanya kila kitu kushinda.
Tofautisha simba na Azam au Singida United. Tanzania hii, mama Simba na baba Yanga, mtoto wa kwanza Yanga na mtoto wa tatu Simba. Hakuna familia ambayo haiguswi na Simba na Yanga kwa wakati mmoja. Ni mwehu tu ambae ataitakia simba au yanga balaa la milele. Nani anafurahi kumuona baba yake au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.