Recent content by Katwangilo

  1. K

    PreGE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Kwenye kupenda vya bure hamjambo...ndomaana mnapiddy-iwa Sana machokonizers wakubwa nyie! Unakuta kijitu kizima na hakina ulemavu kinaomba hela kama kingese vile
  2. K

    LGE2024 Wasimamizi Serikali za Mitaa 2024 wanapatikanaje?

    Acha uongo mkuu, mm nafanya biashara zangu huku Mwanza, mbona Tangazo lilibandikwa Kwenye Ofisi ya Katibu Kata nadhan wanamuita Mtendaji Kata sijui Afisa Mtendaji Kata...
  3. K

    Nani anaiongoza Lebanon na Hezbollah ina nguvu gani?

    Maisha haya, eti Nasrallah hatuko naye tena!
  4. K

    PreGE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Samia nampenda sana Samia namkubali sana Samia ni Mama wa Taifa Samia tumuunge mkono jmn! Nipo Kitambaa cheupe mpya Mbagala aisée watu wanakula bata kinomanoma *****! Lazima nitafute chumba huku Dar! Dah! Mnaojenga Dar nyie wanaume.. Samia....Mitano tena! Mnyantuzu safarini kuelekea Kibololoni
  5. K

    Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Masikini ya Mungu! Mtu kama huyu ukute anashida na ada ya Shule au kaishia darasa la tatu. Anateuliwa mtu wako unashangilia lkn huna unachofaidi hata ukitaka kuonana naye humpati.
Back
Top Bottom